TANESCO: Sasa usambazaji wa umeme nchini kufanywa na sekta binafsi. Tayari Wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza TZS 3.3T kwa sharti la Ubia

TANESCO: Sasa usambazaji wa umeme nchini kufanywa na sekta binafsi. Tayari Wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza TZS 3.3T kwa sharti la Ubia

watanzania sisi ni watu wakupata tabu duniani hadi kuzimu. mambo haya kikwete kayafanya vizuri tu. kaja magufuri kayavuruga na usumbufu tumelipa.leo wanaanza tena.
mimi huu mfumo sioukatai tatizo siasa zetu hazima miongizo iliyoimala. kila Rais anaekuja na watuwake na jambo lake na watu wake wa propaganga kwa faida za familia zao. halafu kuna watu wanasumbuliwa kujadili dira ya sijui ya hadi 2050. upuuzi mtupu
Mkuu hebu nipe mradi mmoja tu ambao ulifanywa na Serikali ya Awamu ya nne ulio na manufaa kwa watz. Gesi imechukuliwa na wazungu kupitia mradi wa BOT (Build, Operate & Transfer) yaani wata-operate kwa miaka 50 then ndio wa-transfer kwenda serikalini kibaya zaidi hakuna watz walioandaliwa ku-takeover huo mradi hiyo inatokana na ubovu wa mikataba iliyoingiwa kati ya serikali na huyo mwekezaji.
 
Tuombe uzima! Maana ni kama kuna something fishy
 
Debt burden will skyrocket to usd 200billion in the few coming years due to Tumbili personal ambitions..
I see massive hikes in tax rates, inflation and corruption.
 
Mimi naamini chini ya Rais Samia kila kitu kitakwenda sawa sawa
atakuja mwingine kwa tamaa zake atavuruga kilakitu.labda itungwe sheria ya kudhibiti Rais.
awekewe mipaka kwenye vitu muhimu hasa kwenye maendeleo ya nchi. lasivyo hakuna cha dira ni ubatili tu.maana huwezi kuweka malengo ukijua kabisa mwingine akija kutawala anahaki ya kuvuluga aliyoyakuta.
 
Watu wanafumua kutokana na mikataba mibovu,kama mikataba itakua win win kwa pande zote mbili wala hakuna atakae fumua!!
 
nimepitia kwa kina nadiriki kusema naunga mkono serikali ni jambo jema
 
Kwanini isiwe the other way around Wawekezaji wa ndani na nje waruhusiwe kuzalisha Umeme wawe wanaiuzia Tanesco?!
 
Uhuni mtupu.

Yaani miundombinu ijengwe kwa jasho na damu la mikopo halafu waje wezi kudandia treni na kujizolea faida.

Acheni uhuni basi kwa mali za nchi.
Wazo zuri sana. Tusikubali hii miradi feki ya Public Private Pillage
Tanesco tunamkabidhi tapeli Adani ambaye amekataliwa na wenzetu wa Kenya!
 
Mkuu hebu nipe mradi mmoja tu ambao ulifanywa na Serikali ya Awamu ya nne ulio na manufaa kwa watz. Gesi imechukuliwa na wazungu kupitia mradi wa BOT (Build, Operate & Transfer) yaani wata-operate kwa miaka 50 then ndio wa-transfer kwenda serikalini kibaya zaidi hakuna watz walioandaliwa ku-takeover huo mradi hiyo inatokana na ubovu wa mikataba iliyoingiwa kati ya serikali na huyo mwekezaji.
miradi ipo mingi.kuhusu kuandaa vijana.nakumbuka kulikua na vijana waliokua wanasomeshwa hiyo kozi ya gess sijui iliishia wapi na wale vijana wapowapi kwasasa. kikwete ndio aliethubutu kupeleka ma phd kila mwaka na kuwalipia. miradi yote hii imevurugwa na wajuaji . nchi hii ni tabu sana.
 
Watu wanafumua kutokana na mikataba mibovu,kama mikataba itakua win win kwa pande zote mbili wala hakuna atakae fumua!!
mikataba wanayoifumua mbona ndio inawaleteaga shida zaidi. na walafi wakishafumua ndio nao wanaiba.kama mikataba imeonekana inashida kutoka kwa mtangulizi ni kutafuta njia ya kurekebisha na sio kuvuruga bila ya kufikili. tulidanganywa kipindi kile kua tutalipwa mwishowasiku hakuna kilicholipwa na yule mwamba aliekua analalamikia hilo kaambulia kuoga risasi za kutosha tu.
 
Nguzo moja ilikuwa laki 3 wakishapewa hao wahindi kufungiwa umeme itakuwa milion 1 na units moja ni tsh.500.

Lazma maji muite mma mwaka huu. Na ukifuatilia deep down utakuta ni shere tu inachezwa kama DP welding.

Sababu zile zile, vita ya Israel na Iran 😂😂😂
Let us wait!
 
Back
Top Bottom