Mkuu hebu nipe mradi mmoja tu ambao ulifanywa na Serikali ya Awamu ya nne ulio na manufaa kwa watz. Gesi imechukuliwa na wazungu kupitia mradi wa BOT (Build, Operate & Transfer) yaani wata-operate kwa miaka 50 then ndio wa-transfer kwenda serikalini kibaya zaidi hakuna watz walioandaliwa ku-takeover huo mradi hiyo inatokana na ubovu wa mikataba iliyoingiwa kati ya serikali na huyo mwekezaji.watanzania sisi ni watu wakupata tabu duniani hadi kuzimu. mambo haya kikwete kayafanya vizuri tu. kaja magufuri kayavuruga na usumbufu tumelipa.leo wanaanza tena.
mimi huu mfumo sioukatai tatizo siasa zetu hazima miongizo iliyoimala. kila Rais anaekuja na watuwake na jambo lake na watu wake wa propaganga kwa faida za familia zao. halafu kuna watu wanasumbuliwa kujadili dira ya sijui ya hadi 2050. upuuzi mtupu