TANESCO: Sasa usambazaji wa umeme nchini kufanywa na sekta binafsi. Tayari Wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza TZS 3.3T kwa sharti la Ubia

TANESCO: Sasa usambazaji wa umeme nchini kufanywa na sekta binafsi. Tayari Wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza TZS 3.3T kwa sharti la Ubia

Kafulila anachokifanya anaweza asieleweke Ila baadae tujaona matunda ya hiki anafanya
 
Serikali inabaki kamq regulatory authority hivyo bei itasalia chini wakati wote
Umefanya rejea kwenye nini kwamba serekall ikiwa regulator bei inabaki chini? Tupe uzoefu wako kwa taasisi za kuregulate kama Ewura, Latra, TCRA nk huko bei ziko chini, hadi useme umeme utakuwa chini?
 
Kila Siku ubia ubia, hivi sisi Kama sisi Tanzania tunaweza kufanya ni kukisimamia hadi kikawa kweli pasipo hizi habari za ubia? Tuamke kwa kweli, utegemezi umezidi.
 
Serikali inabaki kamq regulatory authority hivyo bei itasalia chini wakati wote
Hizi hadithi za bei kushuka huwa ni lugha tamu kulainisha na kutuliza wanaohoji. Rejea uwekezaji wa gesi mtwara, lugha ilitumika hii hii. Uwekezaji bandari pia, nk.
 
Wao wanakuja kuwekeza kwenye nini kama REA imefika Kila kijiji?.
Kwa nini hawakuja miaka 15 au 20 iliyopita?.
Wanakuja kuwekeza kwenye umeme ambao upo Kila kijiji?.
Why?
 
𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗲𝘆𝗲𝘀 𝗳𝗶𝗿𝘀𝘁 𝗣𝘂𝗯𝗹𝗶𝗰-𝗣𝗿𝗶𝘃𝗮𝘁𝗲 𝗣𝗮𝗿𝘁𝗻𝗲𝗿𝘀𝗵𝗶𝗽 𝗽𝗼𝘄𝗲𝗿 𝘁𝗿𝗮𝗻𝘀𝗺𝗶𝘀𝘀𝗶𝗼𝗻 𝗽𝗿𝗼𝗷𝗲𝗰𝘁s

◾The PPP Centre is in talks with foreign investor companies for two power transmission projects
.
◾Power transmission is currently the sole responsibility of state power utility TANESCO

New Delhi India

03 October 2024​

Adani Group na Gridworks katika mazungumzo ya miradi ya mabilioni ya nishati nchini Tanzania.​

  • Tanzania inajadiliana na washirika wa kimataifa kuhusu miradi mikubwa ya nishati.
  • Adani Group ya India na Gridworks ya Uingereza zinalenga miradi yenye thamani ya jumla ya dola za Marekani bilioni 1.2.

10/3/2024​

Tanzania inaendelea na miradi kabambe ya kuboresha miundombinu yake ya nishati na imeweka malengo yake katika ushirikiano wa kimataifa.

Taifa hili la Afrika Mashariki kwa sasa liko kwenye mazungumzo na Kundi la India la Adani kuhusu mradi wa kuvutia wa ujenzi.

Katika mradi uliopangwa wa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi, njia za umeme zenye nguvu ya juu zenye kiasi cha uwekezaji cha dola milioni 900 zitatengenezwa, kulingana na mwakilishi wa nchi.

Nia ya Kampuni ya Adani katika mradi huu inadhihirisha kukua kwa mahusiano ya kiuchumi kati ya Tanzania na makampuni ya kimataifa.

Kwa mujibu wa David Kafulila, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi nchini Tanzania PPP, taifa hilo la Afrika Mashariki lina matumaini makubwa na ushirikiano huo.

Sambamba na hilo, Tanzania inafanya mazungumzo na kampuni ya Gridworks Development Partners ya Uingereza kuhusu mradi mwingine wa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi wenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 300 kwa ajili ya ujenzi wa njia za umeme.

Uwekezaji huu ni sehemu ya mkakati wa kina wa kuimarisha jukumu la Tanzania kama kitovu cha nishati katika ukanda huu wa Afrika na kuhakikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika
 

03 October 2024​

Adani Group and Gridworks in talks for multi-billion energy projects in Tanzania.​

  • Tanzania negotiates with international partners on large energy projects.
  • Adani Group and Gridworks aim for projects worth a total of 1.2 billion US dollars.
Tanzania is pursuing ambitious projects to modernize its energy infrastructure and has set its sights on international partnerships.

The East African nation is currently in negotiations with the Indian Adani Group regarding an impressive construction project. In a planned public-private partnership project, high-voltage power lines with an investment volume of 900 million USD are to be developed, according to a representative of the country.

The interest of the Adani Group in this project underscores the growing economic relations between Tanzania and international companies.

According to David Kafulila, the Executive Director of the Public-Private Partnership Centre in Tanzania, the East African nation is optimistic about these cooperations.

In parallel, Tanzania is holding talks with the British company Gridworks Development Partners about another public-private partnership project valued at 300 million USD for the construction of power lines.

These investments are part of a comprehensive strategy to strengthen Tanzania's role as an energy hub in the region and ensure a reliable supply of electricity.
 
Inflation kwenye bei ya umeme , na hapa ni ishara may be Serikali imefeli vibaya iko taabani wanatafuta kujinasua, labda itavunja record ya kuwa serikali mbovu na dhaifu kiutendaji kuliko awamu zote, acha inyeshe mabwawa yajae maji tupate umeme wa kutosha
 
Back
Top Bottom