Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
energy ni sector nyeti sana. can't be given to foreigners.
hizi akili na anawapa
hizi akili na anawapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapewaje foreigners?energy ni sector nyeti sana. can't be given to foreigners.
hizi akili na anawapa
huyu mama na serikali yake 💀. nope.Wanapewaje foreigners?
Soma vizuri
Andika vizuri tuelewe unachosemahuyu mama na serikali yake 💀. nope.
siwezi wahini kwa lolote
Wacha weeKafulila anachokifanya anaweza asieleweke Ila baadae tujaona matunda ya hiki anafanya
Umefanya rejea kwenye nini kwamba serekall ikiwa regulator bei inabaki chini? Tupe uzoefu wako kwa taasisi za kuregulate kama Ewura, Latra, TCRA nk huko bei ziko chini, hadi useme umeme utakuwa chini?Serikali inabaki kamq regulatory authority hivyo bei itasalia chini wakati wote
Umepanick nini sasa? Au uko kwenye hilo deal?wewe ni kilaza pro max umejaa tope za kijamaa
Unaona muda wa kustaafu unakaribia unapayukapayuka tu humu jf
Hii id yako huwa ndio mtetezi namba moja wa Kafulila. Kama sio mwenyewe ni chawa wake.Yes, mwelekeo wa hii PPP ni sahihi sana
Hilo haliwezekana, acha maneno ya kitapeli. Tanzania huduma huwa hazishuki bei. Kadanganye wajinga.Bajeti ijayo umeme chini kabisa
Hizi hadithi za bei kushuka huwa ni lugha tamu kulainisha na kutuliza wanaohoji. Rejea uwekezaji wa gesi mtwara, lugha ilitumika hii hii. Uwekezaji bandari pia, nk.Serikali inabaki kamq regulatory authority hivyo bei itasalia chini wakati wote
Haina tofauti na DP WORLD, nchi Ina fanyiwa uhuniwakutisha.Uhuni mtupu.
Yaani miundombinu ijengwe kwa jasho na damu la mikopo halafu waje wezi kudandia treni na kujizolea faida.
Acheni uhuni basi kwa mali za nchi.
𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗲𝘆𝗲𝘀 𝗳𝗶𝗿𝘀𝘁 𝗣𝘂𝗯𝗹𝗶𝗰-𝗣𝗿𝗶𝘃𝗮𝘁𝗲 𝗣𝗮𝗿𝘁𝗻𝗲𝗿𝘀𝗵𝗶𝗽 𝗽𝗼𝘄𝗲𝗿 𝘁𝗿𝗮𝗻𝘀𝗺𝗶𝘀𝘀𝗶𝗼𝗻 𝗽𝗿𝗼𝗷𝗲𝗰𝘁s
◾The PPP Centre is in talks with foreign investor companies for two power transmission projects
.
◾Power transmission is currently the sole responsibility of state power utility TANESCO
Huyu tumbili anatumika kuikabidhi Tanzania kwa wageni. Ni kitu gani tunaweza? Tunachagua viongozi wa nini?