TANESCO Shinyanga kunanini, ghafla mmezima umeme?

TANESCO Shinyanga kunanini, ghafla mmezima umeme?

chollemadulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
257
Reaction score
78
Hili shirika la ugavi la tanesco hasa mkoa wa shinyanga kila mala mnakatakata umeme kunatatizo gani au mnataka kutuunguzi vitu vyetu
 
Angalia heading ya thread yako itakusababishia matusi hapa jamvini
 
Back
Top Bottom