TANESCO sio haki walioleta fomu zamani kulipishwa bei mpya

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
821
Reaction score
2,099
Kuna mtu alipeleka fomu ya Maombi ya umeme mwezi August 2021. Surveyor akaja kumkagua mwezi Nov 2021 hakupata control number mpaka leo mwezi Feb 2022 halafu wanamwambia itabidi alipie bei mpya ya 320,000 badala ya 27,000 Je hii ni haki kweli?

Nijuavyo mimi sheria mpya au utaratibu mpya hauwahusu wa zamani ambao hawakuwa kwenye utaratibu huo. TANESCO tendeni haki. Bei mpya ianzie kwenye maombi mapya.
 
Tunashukuru kwa taarifa
Tunakujulisha kuwa bei zinazotozwa saaa sio bei mpya bali ni bei ambazo zilipitishwa na EWURA toka mwaka 2020, ukipitia tangazo letu utaona viambatanisho vyote vya uhalali wa bei husika

TANESCO Huduma kwa wateja

Makao Makuu
 
Mbona kwa vijijini mlisema bei inabaki 27k wakati sio kweli mnataka tulipie bei mpya?
 
Tunashukuru kwa taarifa
Tunakujulisha kuwa bei zinazotozwa saaa sio bei mpya bali ni bei ambazo zilipitishwa na EWURA toka mwaka 2020, ukipitia tangazo letu utaona viambatanisho vyote vya uhalali wa bei husika

TANESCO Huduma kwa wateja

Makao Makuu

Kama ilipitishwa na ewura tangu 2020 imekuaje mkawa mnatuchaji 27000 hadi 2021? Umejielewa kweli?
 
Ukipitia tangazo letu utaona maelezo na viambatanisho vyote
Nyie Tanesco mshakuwa wanasiasa Kile mwanasiasa akija mnacheza kwa Tune ya Mwanasiasa huyo..., Nadhani tungefika mbali kama hili shirika lingeendeshwa kitaalamu na kiweledi zaidi na sio ki-Siasa Siasa..., au unasemaje ?

Hakuna neno najua huenda hata kama unakubaliana na mimi huenda ukashindwa kunijibu..., gonga like hapo au dislike nitajua umenielewa.....
 
Ukipitia tangazo letu utaona maelezo na viambatanisho vyote
Weka hapa hilo Tangazo shida iko wapi mbona unajibu kiholela? Are you serious? Kama umeamua kutolea ufafanuzi wa jambo fulani basi ni vema uweke na viambatisho au unaporefer utuambie hilo Tangazo lipo wapi.

Ni kwamba haujui namna ya kuwasiliana na umma au ndio Bora liende tu siku iishe na kesho kukuche.!!
 
Tunashukuru kwa taarifa
Tunakujulisha kuwa bei zinazotozwa saaa sio bei mpya bali ni bei ambazo zilipitishwa na EWURA toka mwaka 2020, ukipitia tangazo letu utaona viambatanisho vyote vya uhalali wa bei husika

TANESCO Huduma kwa wateja

Makao Makuu
Nynyi tanesco mmekuwa viburi sana sasa HV hyo EWURA kwan aikuwepo kipindi cha Hayati MAGUFURI mtetea wanyonge
 
Tunashukuru kwa taarifa
Tunakujulisha kuwa bei zinazotozwa saaa sio bei mpya bali ni bei ambazo zilipitishwa na EWURA toka mwaka 2020, ukipitia tangazo letu utaona viambatanisho vyote vya uhalali wa bei husika

TANESCO Huduma kwa wateja

Makao Makuu
Weka tangazo la EWURA hapa
 
Weka hapa hilo Tangazo shida iko wapi mbona unajibu kiholela? Are you serious? Kama umeamua kutolea ufafanuzi wa jambo fulani basi ni vema uweke na viambatisho au unaporefer utuambie hilo Tangazo lipo wapi.

Ni kwamba haujui namna ya kuwasiliana na umma au ndio Bora liende tu siku iishe na kesho kukuche.!!
Akiliweka njoo ni nikulipie ya kuongezea huko TANESCO[emoji12]hawa jamaa toka niwajue sisumbuki [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_4938.JPG
 
Back
Top Bottom