TANESCO, Songas zamaliza Mkataba wa Uzalishaji Umeme. Serikali yagoma kuendelea na mkataba kulinda maslahi ya nchi

TANESCO, Songas zamaliza Mkataba wa Uzalishaji Umeme. Serikali yagoma kuendelea na mkataba kulinda maslahi ya nchi

KUMALIZIKA KWA MKATABA WA UNUNUZI WA UMEME KATI YA TANESCO NA KAMPUNI YA UZALISHAJI UMEME KWA NJIA YA GESI ASILIA YA SONGAS​

ljumaa 01 Novemba, 2024

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuufahamisha umma kuhusu kumalizika kwa mkataba wa ununuzi wa umeme kutoka Kampuni ya uzalishaji umeme kwa njia ya Gesi asilia ya Songas. Mkataba huu umedumu kwa muda wa miaka ishirini (20) na umefikia ukomo wake jana tarehe 31 Oktoba 2024.

Pia soma: Serikali: Mkataba wa Songas kumalizika Julai 2024

Pamoja na kufika ukomo wa mkataba huu Shirika linapenda kuwahakikisha wateja wake kuwa hali ya upatikanaji wa umeme nchini ni nzuri kwa kuzingatia vyanzo mbalimbali vya uzalishaji wa umeme ambapo kwa sasa uwezo wa uzalishaji umeme kwa kutumia mitambo ya Gesi asilia na mitambo inayotumia maji ni mkubwa kuliko mahitaji ya umeme hapa nchini.

Hali hii imechangiwa na maendeleo mazuri ya Mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere ambalo mpaka sasa jumla ya megawati 940 zimeungwa kwenye Gridi ya Taifa.

Pia soma: Ujue kwa ufupi: Mkataba wa Songas na TANESCO unaotarajiwa kufika tamati Julai 2024

Maamuzi ya Serikali kutokuendelea na mkataba huu ni kwa ajili ya kulinda maslahi mapana ya nchi. Hivyo, Serikali kupitia Wizara ya Nishati na TANESCO itaendelea kusimamia sekta ndogo ya umeme ili kuhakikisha kunakuwa na huduma bora, endelevu na ya uhakika ya umeme.

Pia soma: Hii ndio hatari inayoweza kujitokeza baada ya mkataba wa Songas kumalizika

View attachment 3141013
Halafu unasikia Kafulila a natafuta kampuni ya PPP ijenge laini za umeme, yaani nchi inajinasua katika hili, yeye anakusanya majangili yaje Tanesco
 
Mama Samia anafanya mengi sana na ya msingi, tatizo letu tunamtazama kwanza akiwa ndani ya akili zetu ni mwanamke wa kizenji.

Mipango ya Mungu tofauti sana na ya kwetu wanadamu, alitaka ukifika mwaka 2024 Novemba nchi iongozwe na Rais wa jinsia yake.

Kuna miradi mingi mipya inafumuka kama uyoga huko mikoani, hatuwezi kuijadili kwani hatuifahamu.
Yote hayo si anatimiza ilani ya chama chake. Anafanya aliyotumwa na chama chake. Au anajituma mwenyewe?
 
Hakika JPM alithubutu..ila pia Mama Samia katisha sana kulipambania liishe.
Mungu awabariki wote wawili.
Walianza pamoja kwahiyo ni mwendo wa kupokezana vijiti,cha muhimu ni kukwepa mikataba kandamizi kama hiyo isijirudie tena...
 
Fofauti yake ni kubwa sana pengine wewe umezaliwa 2010 unaongea kitu ambacho hujawahi kukiona
Nenda Mbagala Rangitatu kila siku mwaka mzima umeme unakatwa kama ilivyokuwa Kariakoo, usipinge usilolijua.
 
Hakuna umeme wa kutosha Tanzania, jaribu kufungua kiwanda au mgodi wa maana ndio utajua, utaishia kutumia generator hata kama gridi ya Taifa inapitia mtaa wa pili
Sio kweli sijafungua kiwanda ila nmefanya kazi viwanda vingi vya pwani, Dar es salaam na Tanga tulikuwa tunatumia umeme wa tanesco generator zilikuwa zinatumika kama back up umeme ukikatika
Nenda Mbagala Rangitatu kila siku mwaka mzima umeme unakatwa kama ilivyokuwa Kariakoo, usipinge usilolijua.
 
2022 CEO MAHARAGE WA TANESCO AIPONGEZA SONGAS KWA KULISHA MITAMBO YA KUFUA UMEME WA GESI


View: https://m.youtube.com/watch?v=lLD82fHPvH4
Mitambo hiyo ya Kinyerezi na Ubungo inatumia gesi kufua umeme

Mtambo wa kufua umeme wa Kinyerezi I kinaashiria hatua zaidi katika juhudi za Tanzania za kuondoa utegemezi wa mitambo ya gharama kubwa ilyotumia dizeli kuzalisha umeme wa MW 185 unaosambazwa kutoka Kinyerezi 1 hadi maebeo ya Gongo la Mboto na kutoka Gongo la Mboto hadi Mbagala jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Hivyo kuongeza ugavi wa uhakika wenye gharama nafuu kiuzalishaji kwa kutumia gesi ya Songo Songo na Mtwara.
 
KUMALIZIKA KWA MKATABA WA UNUNUZI WA UMEME KATI YA TANESCO NA KAMPUNI YA UZALISHAJI UMEME KWA NJIA YA GESI ASILIA YA SONGAS​

ljumaa 01 Novemba, 2024

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuufahamisha umma kuhusu kumalizika kwa mkataba wa ununuzi wa umeme kutoka Kampuni ya uzalishaji umeme kwa njia ya Gesi asilia ya Songas. Mkataba huu umedumu kwa muda wa miaka ishirini (20) na umefikia ukomo wake jana tarehe 31 Oktoba 2024.

Pia soma: Serikali: Mkataba wa Songas kumalizika Julai 2024

Pamoja na kufika ukomo wa mkataba huu Shirika linapenda kuwahakikisha wateja wake kuwa hali ya upatikanaji wa umeme nchini ni nzuri kwa kuzingatia vyanzo mbalimbali vya uzalishaji wa umeme ambapo kwa sasa uwezo wa uzalishaji umeme kwa kutumia mitambo ya Gesi asilia na mitambo inayotumia maji ni mkubwa kuliko mahitaji ya umeme hapa nchini.

Hali hii imechangiwa na maendeleo mazuri ya Mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere ambalo mpaka sasa jumla ya megawati 940 zimeungwa kwenye Gridi ya Taifa.

Pia soma: Ujue kwa ufupi: Mkataba wa Songas na TANESCO unaotarajiwa kufika tamati Julai 2024

Maamuzi ya Serikali kutokuendelea na mkataba huu ni kwa ajili ya kulinda maslahi mapana ya nchi. Hivyo, Serikali kupitia Wizara ya Nishati na TANESCO itaendelea kusimamia sekta ndogo ya umeme ili kuhakikisha kunakuwa na huduma bora, endelevu na ya uhakika ya umeme.

Pia soma: Hii ndio hatari inayoweza kujitokeza baada ya mkataba wa Songas kumalizika

View attachment 3141013
Mda huu kwangu hakuna umeme
 

Songas inalipa gawio la TZS 11 bilioni kwa serikali​


View: https://www.youtube.com/embed/nIygiStIrl8?rel=0&showinfo=0

Tarehe 29 Novemba 2017, Kampuni ya Songas Limited, ilifanya hafla ya uwasilishaji wa gawio katika Kituo cha Umeme cha Songas Ubungo jijini Dar es Salaam.

Hii ilikuwa mara ya kwanza kwa Songas kuandaa hafla hii ambayo ilihudhuriwa vyema na Msajili wa Hazina wa Serikali ya Tanzania, wawakilishi wa wanahisa, wafanyakazi wa Songas na vyombo vya habari vya ndani.

Wakati Globeleq ni wamiliki wenye hisa nyingi wa Songas, kampuni hiyo pia (Songas) inamilikiwa na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Kampuni ya Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) na Tanzania Development Finance Company Limited (TDFL).

Mkurugenzi Mkuu wa Songas Limited, Nigel Whittaker, alisema TANESCO itapokea TZS 2.9bilioni (takriban Dola za Marekani milioni 1.29) wakati TPDC itapokea TZS 8.7 bilioni (takriban Dola za Marekani milioni 3.8); kiasi zote mbili zikiwa sawa na kodi ya zuio (withholding tax) . Kiasi hicho kinaamuliwa na umiliki wa kila huluki katika Songas.

"Tangu mwaka 2004, Songas imekuwa ikisaidia kukuza kauli mbiu muhimu ya Tanzania ya viwanda kwa kutoa takribani asilimia 20 ya umeme wa uhakika na wa gharama nafuu kwenye gridi ya Taifa, pamoja na kusambaza gesi asilia katika shughuli mbalimbali za viwanda jijini Dar es Salaam," alisema Bw. Whittaker.

Makabidhiano ya hundi kwa Msajili wa Hazina, Dk Oswald Mashindano, jijini Dar es Salaam leo. "Songas inatoa aina mbadala na ya bei nafuu ya nishati na inaweka kampuni kama mzalishaji muhimu wa nishati wa kikanda."

Songas kwa sasa ndiyo jenereta ya bei nafuu zaidi ya mafuta katika Afrika Mashariki. Kwa kutumia gesi ya majumbani badala ya mafuta kutoka nje, TPDC inakadiria kuwa tangu Songas ilipoanza shughuli zake mwaka 2004, imeokoa uchumi wa Tanzania zaidi ya dola za Marekani bilioni tano
 
Mahakamani kufanya nini ? Si mkataba umeisha? Kwani kuna kipengeke Cha kwamba mkataba ukiisha lazima ku renew?

Mikataba ina maana zaidi ya kilichopo kwenye karatasi, yaani imani mfano umeagizwa na bosi kufanya jambo fulani kuna ile imani ya uwajibikaji wa pamoja kuwa utatekeleza hata kama hujaambiwa kufanya jambo lililo jema -; kwako, kwa team na bosi. Unategemewa kufanya jema hata kama haikuandikwa ktk mkataba, ila liwe linachangia katika kazi mnayoifanya kama wadau wa maendeleo ya kazini, biashara, urafiki n.k.


1730549970971.jpeg

Nukta hii muhimu ya jambo lililo jema kwa pande mbili pia linatarajiwa katika mikataba baina ya makampuni TANESCO, Globeleq, SONGAS, PAN AFRICAN ENERGY, TPDC n.k

Huu utamaduni uswahili wetu wa kuvunja imani kwa ubabe haupo katika tamaduni za dunia ya kibiashara kimataifa

Sasa turudi katika sheria :

Implied Duties of Good Faith in Commercial Contracts Under English Law

Implied Duties of Good Faith in Commercial Contracts Under English Law​

December 23, 2022, Covington Alert
English law does not generally impose a duty of good faith on contracting parties, unlike some other legal systems.

However, contracting parties should be aware of a growing body of cases in which a duty of good faith has been implied, and the ramifications for their contracts.

English law also imposes some restrictions on the exercise of contractual discretion, which may be overlooked by contracting parties.


In this article, we consider recent developments in the circumstances under English law in which duties of good faith can be implied into commercial contracts, the potential impact of this on party obligations, the potential expressly to exclude implied duties of good faith, and the remedies available for breach of an implied duty of good faith.

In What Circumstances Can a Duty of Good Faith Be Implied into a Commercial Contract?​

In recent years, a concept has developed in English law that a general duty of good faith is likely to be implied (where there is no express provision) into commercial contracts that are ‘relational’ in nature.
A relational contract is one that is long-term and calls for collaboration and co-operation between contracting parties and a greater regard for each other’s interests than would ordinarily be required between commercial contracting parties dealing with one another at arm’s length.
Just because a relationship between two parties is ‘relational’, it does not follow that any contract entered into in the course of that relationship must be relational. A non-exhaustive list of ‘ingredients’ for a relational contract was set out in a landmark 2019 High Court judgment, Bates v Post Office[1]:
  1. There are no specific express terms preventing a duty of good faith being implied.
  2. The contract is long-term, with the contracting parties mutually intending a long-term relationship.
  3. The contract involves a high degree of communication, co-operation and predictable performance based on mutual trust, confidence, and expectations of loyalty.
  4. The contracting parties intend that their respective roles be performed with integrity, and with fidelity to their bargain.
  5. The contracting parties are committed to collaborating in the performance of the contract.
  6. The spirits and objectives of the venture may not be capable of expression exhaustively in a written contract.
  7. The contracting parties intend to place trust and confidence in one another (but of a different kind to that involved in fiduciary relationships).
  8. There may be a degree of significant investment/substantial financial commitment by one contracting party (or both) in the venture.
  9. The relationship may be exclusive.
It is not necessary for all of the ingredients listed above to be present. However, the more of these factors that are present, the greater the likelihood that the contract will be considered relational.
It is important to remember that an implied duty of good faith is no different from any other implied term. In order for the duty to be implied, it must:
  1. be either:
    1. necessary to give business efficacy to the contract, so that no term will be implied if the contract is effective without it (the ‘Business Efficacy Test’); or
    2. so obvious that "it goes without saying" (the ‘Officious Bystander Test’); and
  2. be capable of clear expression and not contradict any express term of the contract (the ‘Cardinal Rule’).
If a contract does include express terms that refer to positive requirements to exercise good faith in relation to specific defined contractual obligations, then this may make it more difficult to argue that other terms, which do not refer to such requirements, ought to be subject to an implied duty of good faith.

Contractual Discretions: The Braganza Duty​

Separately, the English courts have found that where a commercial contract requires one party to exercise a contractual discretion, that party is under a duty to exercise that discretion ‘rationally’. In summary, this is a duty to exercise the discretion reasonably and in good faith, and not arbitrarily or capriciously. This is sometimes referred to as the ‘Braganza Duty’[2].
The Braganza Duty is now well-established, and will be presumed to apply in the absence of clear language to the contrary.
The Braganza Duty does not amount to a duty to act reasonably in the colloquial sense. Rather, it is defined by a test with two limbs: first, the court will assess whether the right matters have been taken into account by a party in reaching a decision in the exercise of its discretion, and second, the court will assess whether the result of this exercise of discretion is so outrageous that no reasonable decision-maker could have reached it. If the right matters have been taken into account and the result is not outrageous, the discretion will be deemed to have been exercised rationally.

What Additional Obligations Does a Duty of Good Faith Impose?​

There is no single definition of ‘good faith’. In fact, very recent guidance form the Court of Appeal[3] on the interpretation of express good faith provisions warns against a “formulaic” approach that may detract from the court’s ability to examine the context in which a specific good faith provision was introduced and to interpret it accordingly. The Court of Appeal also warned against attempts to interpret references in contracts to parties performing obligations in "the spirit of the contract" as an "open invitation" to interpret the clause as imposing additional substantive obligations or restrictions outside the contract terms, providing that the court should instead seek to identify the shared aims of the parties from the express and implied terms of the agreement.
As such, any analysis of what additional obligations may be imposed by a duty of good faith will necessarily be very fact-dependent. That said, the English Courts have provided some guidance on what it means generally to act in good faith (and in bad faith).
An express contractual requirement to perform obligations in good faith has generally been interpreted as a duty to adhere to the spirit of the contract, to observe reasonable commercial standards of fair dealing and openness, to be faithful to the agreed common purpose, and to act consistently with the justified expectations of the other party. In practice, this has been found to include:
  • Providing full and frank disclosure of material facts.
  • Acting honestly and not lulling a contractual counterparty into a false belief, or pursuing an ulterior purpose.
  • Not engaging in deception or the knowing provision of false information.
  • In the context of a joint venture, not participating in undisclosed negotiations with third parties.
  • Not knowingly commencing or persisting in a groundless dispute.
  • Transparently reporting shortfalls in performance of contractual obligations.
  • Co-operative and even-handed investigation of causes of failure to perform obligations.
  • Transparency as to problems encountered with performing obligations.
  • Having regard to a counterparty's interests (albeit while considering and taking into account one's own interests).
The courts have also provided guidance on what is not included in the concept of good faith.
First, good faith is not a fiduciary duty. Relational contracts, subject to an implied duty of good faith, involve trust and confidence but of a different kind from that involved in fiduciary relationships. Specifically, relational contracts do not require that one party subordinates its own interests to those of another, but rather that each party will act with integrity and in a spirit of cooperation.
Second, good faith is not simply another term for honesty. For example, there may well be acts which breach the requirement of performing the contract in good faith, but which it would be difficult to characterise definitively as dishonest.

When Drafting a Contract, Is It Possible Expressly to Exclude Any Implied Duty of Good Faith?​

The answer is: in principle, yes. This is a further consequence of the fact that the duty is based on the contracting parties’ presumed intentions – as such, it is open to the contracting parties to modify the scope of the duty by the express terms of their contract and to exclude it altogether.
The English courts have held that that there must be very strong, completely unequivocal language to ‘oust’ the Braganza Duty and ensure that a contractual discretion is treated as an absolute contractual right.
In certain factual circumstances, even clear language may not be enough. For example, in recent cases concerning employment/consultancy contracts purporting to provide an employer with an "absolute discretion" whether or not to award a bonus to an employee/consultant, the English courts have consistently held that such wording did not in fact provide an absolute discretion, but rather one that was subject to the Braganza Duty.
In practice, it may be commercially difficult to suggest excluding a duty of good faith at the outset of a contractual relationship. It may be more acceptable to expressly identify those obligations under the contract that are to be subject to a duty of good faith (thereby implicitly evidencing the contracting parties’ intention for other obligations not to be) and/or to state expressly that good faith duties only arise where expressly specified in the contract.
In relation to the Braganza Duty, a party may, in certain circumstances, want to consider including contractual wording to specify the extent to which any contractual rights are discretions, and/or as to exactly how any discretions are to be exercised – e.g. by outlining examples of conduct that will fall in and out of scope, in defined circumstances.

What Are the Remedies for Breach of an Implied Duty of Good Faith?​

If the effect of the breach deprives the non-defaulting party of the ‘substantial benefit’ of the contract, they will have the right to terminate the contract and claim damages (including loss of bargain damages[4]), or affirm the contract (i.e. treat it as persisting irrespective of the breach) and claim damages (but excluding loss of bargain damages).
If the effect of the breach does not deprive the non-defaulting party of the ‘substantial benefit’ of the contract, then the non-defaulting party will not have the right to terminate but will be entitled to claim damages (excluding loss of bargain damages).
Damages for breach of an implied duty of good faith are awarded on the same basis as for breach of contract generally, and are subject to the same rules around causation, mitigation, reasonableness and remoteness.
Equitable remedies may also be available, depending on the circumstances, including specific performance, injunctive relief and an account of profits.

Commentary​

Where a commercial contract is classified as relational, it may be considered subject to an implied general duty of good faith. Further, many commercial contracts contain provisions that give the contracting parties discretion with respect to the exercise of contractual rights, which may be subject to the Braganza Duty requiring them to be exercised rationally.
When drafting commercial contracts, contracting parties should consider their intentions and the nature of the contract to evaluate whether it is likely to be considered a relational contract and, if so, whether further steps are required to protect their interests. Where disputes arise, such obligations can be another string to the bow of a claimant.
While there have been developments in other common law jurisdictions, in particular with regard to implying a general duty of good faith into all commercial contracts regardless of their type/the underlying facts, we consider that English law is unlikely to go this far, at least in the short-to-medium term. However, English law in this area is evolving, and contracting parties should continue to monitor developments.
If you have any questions concerning the material discussed in this client alert, please contact the following members of our Commercial Litigation practice.


[1] Bates v Post Office Ltd (No.3) [2019] EWHC 606 (QB), at [725].
[2] Referring to the case in which this principle was developed: Braganza v BP Shipping Ltd & anr [2015] UKSC 17.
[3] Re Compound Photonics Group Ltd; Faulkner v. Vollin Holdings Ltd [2022] EWCA Civ 1371. This concerned the interpretation of an express good faith provision in a shareholders’ agreement, in the context of an unfair prejudice petition. For further analysis of this case and its potential wider impact, please see the Covington alert, accessible here.
[4] The purpose of ‘loss of bargain’ damages is to compensate the non-defaulting party for the full loss of the expected benefit it would have obtained under the contract, had it been performed
 
Songas, Pan-African Energy na wadau wamewekeza fedha kibao, wanamiliki miundo mbinu ya bomba la gesi toka Songo Songo yenye urefu wa kilometa zaidi ya Mia mbili hadi Ubungo Dar es Salaam kwenye mitambo ya kufua umeme. Wawekezaji hawa wamekuwa wadau wa maendeleo endelevu kuhakikisha nishati ya umeme inapatikana kwa uendelevu kukidhi mahitaji ya umeme ...

August 2022

KESHO YA MRADI WA GESI YA SONGOSONGO



4 August 2022

MGUSO CHANYA WA SONGAS NA PANAFRICAN ENERGY, NDIYO MAANA TUNAWEKA UWEKEZAJI ENDELEVU TUKIANGALIA SIKU ZA USONI

Mkurugenzi wa PANAFRICAN ENERGY Bw. Andrew (Andy) Hanna azungumzia changamoto na mipango endelevu ya mradi wa gesi wa Songosongo kwa kina kabisa kwa kuangalia mwaka 2026....


View: https://m.youtube.com/watch?v=8DnAGTbMDXs
Mradi wa SONGAS unaosafirisha gesi kwa bomba hadi Dar es Salaam kutoka mitambo katika kisiwa cha Songosongo field una changamoto za uchakavu na kuonesha uhalisia wake ambao miaka 30 iliyopita haikufahamika.

Hivyo kuhitaji utafiti wa kina kujua kama kutaanza kuwepo upungufu wa uzalishaji wa gesi ya Songosongo au la kwani kunadalili kisima kupunguza mbinyo (pressure) hivyo kuna hatihati je nini hasa kifanyike kuhakikisha gesi inazalishwa kwa kiwango hitajika hadi mwezi Oktoba 2026 ...

Tumewekeza US$70 milioni kukarabati miundo-mbinu hiyo ili wateja wapate ugavi wa gesi sahihi yenye pressure ya kutosha mfano wateja wetu wa Dar es Salaam..

Pia tumewekeza US$20 milioni kuona visima vingine vya gesi kuingizwa ktk mfumo uliopo, tunategemea kutakuwepo upungufu katika miaka ijayo. Kisima ni kama chupa ya coca cola kwa maana ukiifungua pressure hupungua vivo hivyo visima vyetu pressure yake ni kama ilivyo ktk chupa hupungua na ndiyo maana tunawekeza ktk visima vingine kuhakikisha pressure haipungui katika mfumo mzima wa uzalishaji.

Inabidi twende mbio ili kuhakikisha changamoto ya ugavi wa gesi hauleti matatizo kutokana na uzalishaji. Tumewaingiza watu sahihi na makini kuhakikisha mambo ya ugavi wa gesi haupati changamoto,,watu hao ni PanAfrica Energy, Orca na tunawajibu siyo tu ktk nishati bali hata kurudisha kwa jamii ktk miradi ya afya, elimu, lugha ya kiingereza shule kwa wakaazi wa Songo Songo

Tunaonekana mradi wetu wa Songo Songo kama kitu kidogo lakini kumbuka kuwa visima vyetu katika kisiwa cha SongoSongo, vina upekee maana miundo-mbinu mabomba yetu tunayomiliki yameunganishwa na wateja wetu moja kwa moja waliopo Dar es Salaam.

Lakini tunaangalia soko jingine la Bagamoyo, Morogoro, Kibaha Pwani na hata nchi jirani pia hivyo tunaamini katika hilo ndiyo maana tunaendelea kuingiza mitaji zaidi katika sekta hii muhimu ya nishati kwa nchi ...

Hivyo ni suala complex sana kuweza kupata mtu kama sisi wakuweza kuhakikisha ugavi (supply) wa uhakika ikimaanisha kuendesha mitambo, visima na mabomba ya kufikia wateja wetu watiifu waliopo Dar es Salaam, nasema hvyo kwa kuwa ni eneo nyeti ndiyo maana tumeanza kujitayarisha sasa

Kumbuka suala la kupata gesi kwa kuchimba kisima ni risk sana hivyo tumejitayarisha sasa kutafuta a Rig kuchimba, kuingia mikataba, rasilimali watu wajuzi, kuingiza mitambo nchini n.k ili tusiwaangushe wateja wetu katika eneo la ugavi wa gesi Tanzania ...tumeendelea kuwekeza na kuwekeza ... Pan-African Energy,,SONGAS tupo inagawa hatuonekani katika bidhaa zinazo zalishwa Tanzania katika bidhaa kama ceramic, sigara, pepsi kwa kutaja kwa uchache mguso wetu mkubwa..

Source : The Guardian Digital

SONGAS BADO WANA OPTIONS NYINGI, ENDAPO MKATABA UMEKWISHA, HAPO UBUNGO WAFUNGE MITAMBO YA LIQUIDATION KWA GAS YAO, PIA IPO BIASHARA YA KUSUPLY GAS MAJUMBANI NA SI KUKAZANIA NDOA AMBAYO MUDA WAKE UMEKWISHA
 
SONGAS BADO WANA OPTIONS NYINGI, ENDAPO MKATABA UMEKWISHA, HAPO UBUNGO WABUNGE MITAMBO YA LIQUIDATION KWA GAS YAO, PIA IPO BIASHARA YA KUSUPLY GAS MAJUMBANI NA SI KUKAZANIA NDOA AMBAYO MUDA WAKE UMEKWISHA

Kumbuka mtandao wa mabomba toka kisiwani SongoSongo hadi Ubungo na Kinyerezi Dar es Salaam ni mali ya Songas.

Ni muunganiko wa mfano mama mjamzito na kiumbe kilichopo tumboni. Ukikata ugavi wa muunganiko wa mama na mtoto tumboni, kiumbe kitakufa.

Mkataba umeweka picha ya muunganiko huu usioweza kukatwa, bila kiumbe kuathirika. Hiyo ndiyo picha kubwa ya madhara kwa Songas ikiwa serikali itashikilia msimamo wake kusitisha muunganiko huu wa kipekee.

Ikiwa serikali ya Tanzania inataka kufanya jambo linalokiita la kizalendo ili kuachana na SONGAS, basi wakae chini kutathimini waununue mradi huo kwa bei ya makubaliano ya matarajio ya manufaa yanayokadiriwa kupatikana na siku za mbeleni


Na uhakika SONGAS, Globeleq, PAN AFRICAN ENERGY wakiwekewa mzigo wa kutosha wa ma-dolari ya kiMarekani wataachana na mradi huo mzima wa visima visiwani, baharini na mtandao wao wa mabomba ya gesi kwa roho safi ya kibiashara.
 
Kumbuka mtandao wa mabomba toka kisiwani SongoSongo hadi Ubungo na Kinyerezi Dar es Salaam ni mali ya Songas.

Ni muunganiko wa mfano mama mjamzito na kiumbe kilichopo tumboni. Ukikata ugavi wa muunganiko wa mama na mtoto tumboni, kiumbe kitakufa.

Mkataba umeweka picha ya muunganiko huu usioweza kukatwa, bila kiumbe kuathirika. Hiyo ndiyo picha kubwa ya madhara kwa Songas ikiwa serikali itashikilia msimamo wake kusitisha muunganiko huu wa kipekee
"Sinunui umeme wako, na makubaliano yamekwisha duration time ni 20yrs, imekamilika, in peace,
That mean kuna phase 2, majadiliano itabidi yafanyike, #SONGAS aombe serekali inunue miundombinu, aidha songas itumie miundombinu hiyo kwa matumizi mengine, aidha apewe kazi ya kuuza gesi daresalam na mengineyo!
Ep-Nahitaji maji hapa, maji yapo rufiji, (do as you can nataka maji hapa utaniuzia, na nayaitaji kwa miaka 30 tu, seller atafanya costing zake kuona akiyatoa rufiji akuletee hapo, akikuchaji kiasi fulani kitamlipa? Kwa miaka 30,after costing ndipo at Ajibu naweza au siwezi, alisema it's OK, maana ametambua ana miaka 30ya kupiga kazi yake!..
 
"Sinunui umeme wako, na makubaliano yamekwisha duration time ni 20yrs, imekamilika, in peace,
That mean kuna phase 2, majadiliano itabidi yafanyike, #SONGAS aombe serekali inunue miundombinu, aidha songas itumie miundombinu hiyo kwa matumizi mengine, aidha apewe kazi ya kuuza gesi daresalam na mengineyo!

Biashara siyo mchezo wa hasira, tukae chini tukubaliane kununua kila kitu cha SONGAS ikiwemo mategemeo ya mapato waliyotarajia SONGAS kwa zaidi ya miaka hiyo 20
 
Back
Top Bottom