Shirika la Umeme (TANESCO) limetangaza kuwa Maeneo yote ya Tanga na Pemba yatakosa umeme leo kutokana na hitilafu kwenye miundombinu ya usafirishaji meme kwenye kituo cha kufua umeme cha Hale Mkoani Tanga
Shirika limesema linajitahidi kuhakikisha huduma inarejea katika hali yake ya kawaida.