Tanesco tumeona matokeo ya mechi yenu

Tanesco tumeona matokeo ya mechi yenu

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Baada ya mechi ya Simba kuisha Tanesco mkachomoa fyuzi, hivi sasa saa 00:00 hamjarudisha umeme Mbagala Dar es Salaam,

Sasa saa 00:04 mmerudisha umeme! Mungu awalaani.
 
Tanesco inabidi watueleze kwanini jana mara baada ya mechi ya Simba waliamua kukata umeme Mbagala na kuurudisha saa 6:04 baada ya mechi ya Yanga kuisha.
 
Back
Top Bottom