Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Jan 13, 2025 #1 Baada ya mechi ya Simba kuisha Tanesco mkachomoa fyuzi, hivi sasa saa 00:00 hamjarudisha umeme Mbagala Dar es Salaam, Sasa saa 00:04 mmerudisha umeme! Mungu awalaani.
Baada ya mechi ya Simba kuisha Tanesco mkachomoa fyuzi, hivi sasa saa 00:00 hamjarudisha umeme Mbagala Dar es Salaam, Sasa saa 00:04 mmerudisha umeme! Mungu awalaani.
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Jan 13, 2025 Thread starter #2 Tanesco inabidi watueleze kwanini jana mara baada ya mechi ya Simba waliamua kukata umeme Mbagala na kuurudisha saa 6:04 baada ya mechi ya Yanga kuisha.
Tanesco inabidi watueleze kwanini jana mara baada ya mechi ya Simba waliamua kukata umeme Mbagala na kuurudisha saa 6:04 baada ya mechi ya Yanga kuisha.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 22, 2025 #3 Tanesco msirudie tena