TANESCO tunaomba umeme usikatike kipindi hiki cha Kombe la Dunia

TANESCO tunaomba umeme usikatike kipindi hiki cha Kombe la Dunia

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Najua mpo humu tena ngoja niwatag TANESCO

Poleni na majukumu makubwa sana ya kutukatia umeme kila uchwao, sasa mimi nikiwa kama mdau wa soka, kombe la dunia linaanza leo hivyo tunawaomba sana msitukatie umeme mkatunyimba burudani ya soka ambayo huja kila baada ya miaka minne.

Kwakuwa TBC1 washaupiga mwingi kwa kutuonyesha kombe la dunia bure, basi na nyie ungeni mkono juhudi za TBC1 kwa kutuachia umeme tushuhudie walau Senegal ikitwaa ubingwa.

Asanteni sana!
 
Back
Top Bottom