kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
TANESCO wanatakiwa kwenda na wakati unit 75 kwa mwezi kwa maisha ya sasa ni chache sana maana kwa sasa vitu basic vya umeme majumbani ni vingi mambo yamesha badilika na nyie mbadilike
Mtu anatumia umeme kwa kujibana bana kisa anaogopa kuvuka unit 75 na wakati vitu alivyo navyo ni basic kabisa kuna haja TANESCO kupitia upya hizi sheria.
Mtu anatumia umeme kwa kujibana bana kisa anaogopa kuvuka unit 75 na wakati vitu alivyo navyo ni basic kabisa kuna haja TANESCO kupitia upya hizi sheria.