Hizo zilikua package kwa watu wa Hali ya chini ambao hawana matumizi yanayofika 75kw kwa mwezi, wewe kama unajiweza tumia hata kw 10000 nani atakuzuia, CCM kweli wanakosea mambo mengi ila wananchi nao mmezidi kulia ujinga, unaweza Toka Hio tariff jiunge ambapo unatumia umeme bila kikomo
Ningekuelewa sana endapo ungeomba Bei ya umeme ishushwe kwa wote, sio nyinyi mnaopendelewa mkihitaji nafuu zaidi huku sisi tunanyonywa, tunanua umeme wa elf 10 kw 28 nyi wa kw 75 sio muda wa kulalama