TANESCO, Usa-River Arusha kuna mgawo wa umeme?

TANESCO, Usa-River Arusha kuna mgawo wa umeme?

Doslamari

New Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
4
Reaction score
1,499
TANESCO Wilaya ya TANESCO Usa-River Arusha tangia juzi ikifika saa 12 jioni mnakata umeme, vipi kuna mgawo? Au ni kwamba hamsikii raha bila kutukatia umeme.

Meneja wa hapa km siyo mchawi basi ana roho ya kichawi maana mojawapo ya malengo ya uchawi ni kutesa wenzako.
 
Hadi hapo usa river chemchem kwa bibi yangu wamekata? 😎
 
Back
Top Bottom