Hili Wazo la kipuuzi sana. Sidhani kama unalinganisha umeme na huduma za mawasiliano, I hope usiwe kwenye position ya kutoa mapendekezo kama hayo kwenye ofisi. Yaishie humu humu tuNapendekeza umeme uuzwe kwa vifurushi kama vya simu
Mfano umeme wa 10,000/= upate unit 30 ambazo unapaswa kutumia ndani ya siku 7
Hii itapeleka umeme unaozalishwa utumike wote na kuacha kama sio kuondoa ubanaji wa matumizi kadri siku zinapokaribia kuisha kifurushi
Hii itapelekea pia kutumika umeme wote unaozalishwa, kwavile kutakua na “expire date” na kuacha kulipia umeme uliotengenezwa na kutotumika
Matumizi ya “pay less get more” yakizingatiwa nina uhakika majumba yote yatawashaa AC kwa Dar, majiko ya gas yatakua historia pamoja na taa za nje zitakua zinaachaa usiku mzima
Ahsante
Pumbavu sana😡Napendekeza umeme uuzwe kwa vifurushi kama vya simu
Mfano umeme wa 10,000/= upate unit 30 ambazo unapaswa kutumia ndani ya siku 7
Hii itapeleka umeme unaozalishwa utumike wote na kuacha kama sio kuondoa ubanaji wa matumizi kadri siku zinapokaribia kuisha kifurushi
Hii itapelekea pia kutumika umeme wote unaozalishwa, kwavile kutakua na “expire date” na kuacha kulipia umeme uliotengenezwa na kutotumika
Matumizi ya “pay less get more” yakizingatiwa nina uhakika majumba yote yatawashaa AC kwa Dar, majiko ya gas yatakua historia pamoja na taa za nje zitakua zinaachaa usiku mzima
Ahsante
Natafuta wapi ulipotoa hoja ya kwanini umeme usiuzwe kwa bundle sioniHili Wazo la kipuuzi sana. Sidhani kama unalinganisha umeme na huduma za mawasiliano, I hope usiwe kwenye position ya kutoa mapendekezo kama hayo kwenye ofisi. Yaishie humu humu tu
Mjuba unataka watu wasitumie umeme? Bei yenyewe ya sasa ni kimeo halafu utake umeme wa elfu kumi kwa wiki
Kwa sasa tunalipia umeme uliotengenezwa na kukosa matumizi, hii ni mojawapo ya sababu ya umeme kua juu.Mjuba unataka watu wasitumie umeme? Bei yenyewe ya sasa ni kimeo halafu utake umeme wa elfu kumi kwa wiki?
hizi ni changamoto na zitaweza kutatuliwa pale umeme ukikata huku watumiaji ukifahamu kabisa ndani ya siku mbili zijazo kifurushi changu kitaisha, kelele zikiwa nyingi pamoja na kesi za fidia itapelekea umeme kupungua kukatika au tatizo hili kuisha kabisa.Wazo lako ni zuri sana lakini siyo kwa nchi yetu hii umeme unakatika wiki nzima na wakati wako wa matumizi unaelekea mwisho, hiyo ni hasara, simu yako ikizima unachaji fasta unaendelea na matumizi, hata kama umeme hamna unaweza kutumia umeme wa jua na simu ikawaka na ukaokoa salio lako, tofauti na umeme wakikata hadi wakuludishie wao hiyo ni mbaya.
Hayo ni matumaini hewa.hizi ni changamoto na zitaweza kutatuliwa pale umeme ukikata huku watumiaji ukifahamu kabisa ndani ya siku mbili zijazo kifurushi changu kitaisha, kelele zikiwa nyingi pamoja na kesi za fidia itapelekea umeme kupungua kukatika au tatizo hili kuisha kabisa.