Tanesco uzeni umeme kwa “BUNDLES” vifurushi

Tanesco uzeni umeme kwa “BUNDLES” vifurushi

Napendekeza umeme uuzwe kwa vifurushi kama vya simu

Mfano umeme wa 10,000/= upate unit 30 ambazo unapaswa kutumia ndani ya siku 7

Hii itapeleka umeme unaozalishwa utumike wote na kuacha kama sio kuondoa ubanaji wa matumizi kadri siku zinapokaribia kuisha kifurushi

Hii itapelekea pia kutumika umeme wote unaozalishwa, kwavile kutakua na “expire date” na kuacha kulipia umeme uliotengenezwa na kutotumika

Matumizi ya “pay less get more” yakizingatiwa nina uhakika majumba yote yatawashaa AC kwa Dar, majiko ya gas yatakua historia pamoja na taa za nje zitakua zinaachaa usiku mzima
Ahsante
Hata kodi ya kumiliki line ya simu ilikuja kama utani hivhiv. Nahisi lengo lako ni kujipanga kwa hoja zitakazoletwa humu. Hamshindwi kusema wananchi wamekubali
 
Matumizi ya “pay less get more” yakizingatiwa nina uhakika majumba yote yatawashaa AC kwa Dar, majiko ya gas yatakua historia pamoja na taa za nje zitakua zinaachaa usiku mzima
Ahsante
Kumbe unaongelea Dar nimeshtuka nipo zangu huku tandahimba tunabangaiza umeme wa buku siku ya 3 leo😤
 
Back
Top Bottom