KERO TANESCO wakazi wa Boko magengeni na viunga vyake mnatutesa kwa kutukatia umeme hadi usiku wa manane

KERO TANESCO wakazi wa Boko magengeni na viunga vyake mnatutesa kwa kutukatia umeme hadi usiku wa manane

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Tangu kuanza wiki hii TANESCO wamekuwa wakikata umeme bila taarifa kabisa kwa wananchi wa maeneo husika Boko magengeni, Bulemawe, Chama,Calfonia, Ndogondogo center na Mtambani.

Mfano jumatatu, jumanne, jumatano wanakata umeme kuanzia asubhi unarudi usiku! Na ukirudi tena saa sita au saa 7 usiku unakataa tena kama ilivyo leo, ninavyoandika uzi huu ni masaa mawili sasa umeme umekatika.

Mbona hali inazidi kuwa mbaya sana. Octoba 2025 ifike tufanye maaumizi magumu sasa maana tumeshaongea sana lakini wenye mamlaka husika wameridhika sana na maisha tunayopitia wananchi!
 
Back
Top Bottom