TANESCO Wakipigiwa simu ya dharura wanachelewa au hawatokei kabisa

Customer care ya Tanesco is one of the. Best, kama unalalamika kungoja masaa 5, nataka nikueleze katafute dunia yako uishi mwenyewe
 
Nimependa hii, ni wazo zuri sana
Mimi nilikua nawapigia mpaka wakipokea wanataja jina langu [emoji28][emoji28][emoji28]walishanikariri na kupiga kote walikuja baada ya Siku 3
 
Mimi nilikua nawapigia mpaka wakipokea wanataja jina langu [emoji28][emoji28][emoji28]walishanikariri na kupiga kote walikuja baada ya Siku 3
Wana Low response katika hali ya dharura
 
Miongoni mwa Taasisi zinazonukia rushwa ni hii.Usipotoa utazungushwa kwa sababu lukuki hadi ufe.Ndio zinanukia au unataka tusemeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…