Hahahahahaha juzi Kati luku zilikua zinaisha faster kinyamaMvua ikinyesha shida, ikipotea shida. TANESCO mnataka tufunge na kuomba hili shirika liongeze ufanisi? Msilete ujima hapa
Tatizo wabongo hamna uelewa, miezi iliyopita mgao ulisababiswa na ukame, sahivi mgao umesababishwa na mvua, mnashangaa nini? Nunueni majeneretaMvua ikinyesha shida, ikipotea shida. TANESCO mnataka tufunge na kuomba hili shirika liongeze ufanisi? Msilete ujima hapa
Iwe mvua iwe jua, mgao lazima.Tatizo wabongo hamna uelewa, miezi iliyopita mgao ulisababiswa na ukame, sahivi mgao umesababishwa na mvua, mnashangaa nini? Nunueni majenereta
Naona wamesahau kuhusu tope linaloganda kwenye vikombe na waya za umeme, hili ni kwa Tanzania tu.Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema hali ya upatikanaji wa Umeme katika baadhi ya maeneo nchini, imekuwa duni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, iliyosababisha miundombinu ya umeme, zikiwemo nguzo na transfoma kuanguka.
Kupitia taarifa iliyotolewa na Shirika hilo imebainisha kuwa wataalamu wake katika maeneo mbalimbali nchini, wamekuwa wakifanya juhudi za kufanya marekebisho katika miundombinu iliyopata hitilafu na hata kuharibika kutokana na mvua hizo.
View attachment 2879097
Mbona sijaona walioolalamika bali naona wanatupa taarifa wateja wao?Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema hali ya upatikanaji wa Umeme katika baadhi ya maeneo nchini, imekuwa duni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, iliyosababisha miundombinu ya umeme, zikiwemo nguzo na transfoma kuanguka.
Kupitia taarifa iliyotolewa na Shirika hilo imebainisha kuwa wataalamu wake katika maeneo mbalimbali nchini, wamekuwa wakifanya juhudi za kufanya marekebisho katika miundombinu iliyopata hitilafu na hata kuharibika kutokana na mvua hizo.
View attachment 2879097