TANESCO WAMEENDELEA NA LEO KUKATA UMEME NGERENGERE MOROGORO.

TANESCO WAMEENDELEA NA LEO KUKATA UMEME NGERENGERE MOROGORO.

General Nguli

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
1,287
Reaction score
2,663
Leo Trh 6 SEPT 26
TANESCO WAMEENDELEA KUKATA UMEME NGERENGERE BILA TAARIFA YOYOTE.LICHA TA KKUFUNGULIWA BWAWA LA UMEME LA JULIUS NYERERE NGERENGERE IMEENDELEA KUSOTA NA UMEME KIDOG KWA SIKU.

MBAYA ZAIDI HAKUNA TAARIFA YOYOTE.
WENGI WANADHANI NIKUTOKANA MA KIJIJI HIKI WANANCHI HAWANA ELIMU
 
Habari ndugu mteja,

Tunaomba radhi kwa kuchelewa kujibu ujumbe wako kuhusu changamoto hio iliojitokeza Ngerengere kutokana na kukatika kwa huduma ya umeme. Tunaelewa kabisa changamoto mnazopitia, hasa pale huduma inapokatika na kuathiri shughuli za kila siku.

Tafadhali, tunaomba utufahamishe kama changamoto hiyo bado inaendelea au tayari imetatuliwa. Endapo bado hujapata msaada, tafadhali tujulishe ili tuweze kuifuatilia kwa kina na kuhakikisha inapatiwa ufumbuzi kwa wakati.

Asante.^PK
 
Back
Top Bottom