TANESCO wamejieleza ila kwa chuki za baadhi yetu kwao sidhani kama tunawaelewa

TANESCO wamejieleza ila kwa chuki za baadhi yetu kwao sidhani kama tunawaelewa

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,014
Reaction score
6,834
1667197341772.png
 
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana, kila mwaka tunalalamika migao ya umeme inayosababishwa na ukame, wakati huo ukame unasababishwa na jua kali, ambalo jua lenyewe ni chanzo kingine cha umeme.

Ajabu tunaacha hilo tunakimbilia miradi ya umeme wa maji ambayo sio reliable, na gesi ambayo ni bei kubwa zaidi, huku kama sio kulogwa sijui ni kitu gani.
 
Wananchi wa Bumbuli wanasema hawataki maelezo maana hata wao kwenye tozo na kodi hawakusikilizwa
 
Wananchi hawana haja na maelezo, wanachotaka ni nishati ili kusudi anaeyechomelea chuma, kutengeneza icecream, kuweka juice kwenye friji, salon za kunyoa na kusuka nk, aendelee na kazi yake.
 
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana, kila mwaka tunalalamika migao ya umeme inayosababishwa na jua kali, wakati hilo jua lenyewe ni chanzo cha umeme, tunaacha hilo tunakimbilia miradi ya umeme wa maji ambayo sio reliable, na gesi ambayo ni bei kubwa zaidi, huku kama sio kulogwa sijui ni kitu gani.
Exactly.
Yaani unabaki unashangaa yaani mtu analalamikia jua wakati ni chanzo cha nishati.
Kuna vitu vingine vya kijinga sana.
Tanzania ina watu wa ajabu sana.
 
Back
Top Bottom