TANESCO wamepandisha bei ya umeme?

TANESCO wamepandisha bei ya umeme?

Tuchukulie ni tabia mbaya ya vidole vyako wakati unabofya kununua umeme.haki ya mzungu kama kweli tutakoma.
 
Leo tarehe 02 October 2023 nimenunua umeme wa sh.11,000/= ambapo nilitegemea kupata unit 28.0 lakini nimepata unit 26.6! Je, umeme umepanda bei au ni tabia nchi tu!
Jaribu kupiga simu kwa emergence yao wakupatie ufafanuzi
 
Labda buku la kila mwezi
Hapana, mwanzo wa mwezi ninanunua shs.11,000/= ninapata unit 28.0 baada ya kukata kodi ya jengo shs.1,000/= na katikati ya mwezi ninanunua shs. 10,000/= bila kodi ya jengo ninapata unit 28.0 taslimu, je, Tanesco wamepandisha bei ya umeme?
 
Mkuu heri yako, mimi hii nimenunua juzi juzi na nmepewa unit 23 tu. Sasa hivi kodi ya jengo ni 1500 si 1000 mkuu

Cost 6,967.22
VAT 18% 1,254.09
EWURA 1% 69.67
REA 3% 209.02
Debt Collected 1,500.00
TOTAL 10,000.00
 
Masahihisho : hiyo si kodi ya Jengo ni kodi ya mita , ndio maana nyumba yenye mita 4 kila mita inatozwa 1500
 
Mkuu heri yako, mimi hii nimenunua juzi juzi na nmepewa unit 23 tu. Sasa hivi kodi ya jengo ni 1500 si 1000 mkuu

Cost 6,967.22
VAT 18% 1,254.09...
Mimi ninanunia umeme Tanesco mabadiliko yoyote yale ni wajibu wa Tanesco anijulishe ili nijiongeze ninaponunua umeme, vinginevyo wananiharibia ratiba yangu, huo ni uswahili.
 
Back
Top Bottom