The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Na sie wabara tunauziwa sh ngapi?Amesema wanauziwa Tsh 130 na si 30
Buku 5 napata unit 14 kwahiyo ni kama 358 hivi kwa unit. Mambo ya Tax humo humo kasoro kodi ya nyumba ile buku.Na sie wabara tunauziwa sh ngapi?
Kwanini sasa zenji wapunguziwe kiasi hicho? Au ndo wakiwezeshwa wanaweza....Buku 5 napata unit 14 kwahiyo ni kama 358 hivi kwa unit. Mambo ya Tax humo humo kasoro kodi ya nyumba ile buku.
View attachment 2454482
357Na sie wabara tunauziwa sh ngapi?
Duh haya
Kwani umeme wa Uganda tunaununua kwa bei gani?Nimemsikia waziri kutoka Zanzibar akisema kwamba Kuna kero moja kubwa imeondoshwa kwa tanesco wamekubali kuiuzia Zanzibar umeme Kwa shs 30 Kwa unit.
Huu umeme wa bei hiyo umetoka wapi?
Unaweza ukalia.. aiseeKwanini sasa zenji wapunguziwe kiasi hicho? Au ndo wakiwezeshwa wanaweza....
Kumbe hata nusu ya bara hawafiki
Ila Wazanzibari ni wanyonyaji!! Sisi wamiliki wa mitambo, tunauziwa unit 1 kwa zaidi ya shilingi 300! Halafu wao wanauziwa kwa shilingi 30 tu!!Nimemsikia waziri kutoka Zanzibar akisema kwamba Kuna kero moja kubwa imeondoshwa kwa tanesco wamekubali kuiuzia Zanzibar umeme Kwa shs 30 Kwa unit.
Huu umeme wa bei hiyo umetoka wapi?
Kama ni kweli hili sio lakuchekeaNimemsikia waziri kutoka Zanzibar akisema kwamba Kuna kero moja kubwa imeondoshwa kwa tanesco wamekubali kuiuzia Zanzibar umeme Kwa shs 30 Kwa unit.
Huu umeme wa bei hiyo umetoka wapi?