TANESCO wamepata wapi umeme wa kuiuzia Zanzibar Tshs 30 kwa unit?

TANESCO wamepata wapi umeme wa kuiuzia Zanzibar Tshs 30 kwa unit?

Zanzibar kama kupe.
Hawa watu ni zaidi ya kupe! Na ndiyo maana wanamiliki nchi ya kwenye makaratasi tu.

Ukiwaambia wajitenge, hawataki! Badala yake wanakimbilia kwenye kero za Muungano, ili waendelee kupata mteremko.
 
Wala urojo wanapenda sana mteremko, saa hizi hawana kelele sana maana wameshika mpini......
 
Hatutaki muungano ufe. Lakini hatutaki uwe wa KINYONYAJI Zanzibar tu ndio wanafaidi.

BILA KATIBA MPYA, ITAKAYOTUNGWA NA WANANCHI NA SIO CHAMA TAWALA, (na iwe ni ya serikali tatu kama rasimu ilivyokuwa imesema), kero hazitakaa ziishe.

Wanaoshughulikia kero za Muungano wanateuliwa na serikali kwa hiyo wanashughulikia yanayokera serikali. Yanayokera wananchi hayawezi kuwa kwenye agenda zao. Kumbuka wananchi wa Zanzibar wana kero, na wa bara wana kero (kama huu mfano wa umeme)
 
Watu wa huu mkoa tunawabeba mno lkn shukrani hawana, hawatuamkii na hata uwe mzee kiasi gani ukifika Zanzibar hupewi shikamoo.
 
Back
Top Bottom