TANESCO wameshindwa kujiendesha

Notorious thug

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
2,817
Reaction score
10,667
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naona ni muda muafaka wa kuuzia hili shirika wadau wa DP WORLD afu Bandari tukabaki nayo naona Tanesco wameshindwa kujiendesha.

Bado tunawasha mishumaa na makoroboi 2023 kisa umeme hamna zaidi ya masaa 34 aibu TANZAGIZA.

 
Acha TANESCO waendelee na biashara kama wanataka inagwaje najua watafeli tuu, muhimu waruhusu makampuni binafsi wazalishe na wauze umeme, monopoly waliyoipa TANESCO kwa sababu ndio kisima chao cha kuchota ndio sababu kubwa ya TZ kuwa na matatizo ya umeme na uliokuwepo ni very expensive, tunajikomesha wenyewe na sera za kipumbavu na tamaa za watu wachache, kwa sera ya sasa labda uwe mwehu ndio unaweza kuwekeza kwenye umeme TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…