Kamavinga
Member
- Nov 7, 2021
- 43
- 62
Miezi kadhaa iliyopita, tulikumbwa na janga kubwa la mgao wa umeme ambalo lilileta usumbufu wa kila aina kwa Watanzania. Watu wakawa 'frustrated' na umeme ukawa ndo story kila kona na mitandao ya kijamii.
Mvua ikaanza kunyesha na tararibu kadhia hii ya umeme ikaanza kupungua, na kwa sasa imepungua sana na wabongo TUMESHASAU. Tunakula maisha kama kawaida.
NATOA RAI KWAMBA ''TUSIJISAHAU'', linaweza kujitokeza tena siku za usoni. Tutumie muda huu kuhoji Tanesco kama ufumbuzi ushapatikana. Tutusisubiri mapaka kero ianze tena ndo tuanze kulalamika. Vinginevyo, Tanesco wataendelea kucheza na akili zetu mpaka wachoke wenyewe.