Tanesco Wanavyoongeza Chuki Kwa CCM

Highlander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
3,093
Reaction score
1,075
Jamani nipo eneo la Maji ya Chumvi Ubungo. Ni wapi? Ni jeshini Ubungo Kibangu. Hakuna Umeme siku nzima hapa, wakati maeneo mengine yote ya Ubungo yamekuwa na umeme leo hata kama kwa kuzimika na kuwaka baada ya muda mfupi. Hizi samaki kwenye mafriji inakuwaje? Saa hizi Ubungo yooote ina umeme, jeshini tu ndo hakuna umeme. Sisi wananchi tunaopakana na hili heshi giza totolo. Tukisema CCM inaajiri watu wabovu kwenye mashirika yetu ya Umma mnasema hoooo...tunageuza kila kitu kuwa cha kisiasa. Hili la kukosesha kambi ya kubwa namna hii ya jeshi umeme na raia waishio jirani limekaje jamani, wakati kwingine koooote umeme upo?
 
Ukiendekeza SIASA utapotea mkuu.
Kwani waliokosa umeme au wanaokaa huko ni Chadema tu,kama mmekosa basi mmekosa wote.

Hivi chama gani unafikiria kikiingia madarakani kitakuwa ni miungu watu kwamba hakuna linaloweza kutokea.

Mambo Mengine ni God`s case,unalalamika utafikiria mpemba?

Ukiendekeza kusema kila kitu kibaya ni sababu ya CCM basi utakuwa unapoteza muda wako bure na nguvu yako kimaisha.
We fanyakazi na ujitume nenda shule ujiendeleze uone kama unaonewa,hakuna chama kitakachokuletea chakula mpaka ujitume mwenyewe.

Na wanaolalamika sana ndio wanaokuwa nyuma kila siku,unaweza kujikuta unagombana na mkeo,mara unasema ahhh CCM hao.

We Angalia mfano Mama Lishe wa Dar,wao Siasa kwao ni siku ya kupiga kura tu,wakimaliza wanaingia mzigoni na hakuna habari za kuonewa wala nini.Na ndio maana Mamalishe wengi Dar wanamiliki viwanja na wengine nyumba wakati wafanyakazi wa serikali wakiishia kupanga miaka tele.

Life is how you make it,acha kulalamika issue kama hiyo eti umeme kwetu haupo kisa CCM alaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…