TANESCO: Wateja mnaotumia Yas tumieni mitandao mingine ili kuwasiliana na huduma kwa wateja

TANESCO: Wateja mnaotumia Yas tumieni mitandao mingine ili kuwasiliana na huduma kwa wateja

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wanabodi

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuwa wateja wanaotumia mtandao wa simu wa YAS wanakumbana na changamoto ya kupiga simu kupitia namba ya huduma kwa wateja 180.

TANESCO imewashauri wateja hao kutumia mitandao mingine ikiwemo Vodacom, Airtel, Halotel na TTCL, au kutumia namba mbadala 0748550000.

Pia, wateja wanaweza kuwasiliana kupitia makundi ya WhatsApp yaliyoko nchi nzima pamoja na kurasa rasmi za shirika hilo.

photo_2025-09-27_18-22-50.jpg
 
Huo mtandao tangu wabadilishe jina hali bado siyo asante kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom