Tutakuwa na maboresho ya miundombinu yatakayofanyika katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na Kusafirisha umeme cha Ubungo ambayo yanaweza kuathiri upatikanaji wa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti kwenye baadhi ya maeneo ya Zanzibar, Dar na Pwani.
Tunapenda kuwatia hofu wananchi kuwa maboresho haya hayatakuwa kwa siku sita mfululizo na hayataathiri wananchi kwa muda wote.