TANESCO: Wema ni jipu, tumemuweka kwenye 24hrs surveillance

Mkuu post yako imekaa ki umbeya umbeya chunguza chuki mkuu yaani matatizo makubwa ya Tanesco yawe yamesababishwa na wema kweli? Badala ya mashirika ya umma na taasisi za serikali? Kweli nimeamini usemi wa kiswahili hasidi hana sababu wewe ni hasidi mkubwa kwenye maendeleo ya wema
 
juzi nimemuona kariakoo ananunua mtungi wa gesi wa kilo 6 wenye kisahani cha moja kwa moja
 
Mmmh me hadi kesho napenda kile kipande chake kwenye heshima kwa wanawake
"Usimdharau usiyemjua wewe wee, mama Monica, ulimwengu na vyote vilivyomo ndani yake, vitampisha apite anayejua aendako".....
 
Last edited:
AISEE UNA KIPAJI SANA LAZIMA SHIGONGO AKUTAFUTE
 
Acha kumkashif mwenzio we mbona hujataja list yako,mxuuuuuuuuu.....kweli nyani haoni Ku....le,,ungesema wema sepetu watu wasingekuelewa????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…