Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Hatariaseee 🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatariaseee 🙂
Mkuu post yako imekaa ki umbeya umbeya chunguza chuki mkuu yaani matatizo makubwa ya Tanesco yawe yamesababishwa na wema kweli? Badala ya mashirika ya umma na taasisi za serikali? Kweli nimeamini usemi wa kiswahili hasidi hana sababu wewe ni hasidi mkubwa kwenye maendeleo ya wemaMiss Tanzania 2006 na aliyekuwa ex wa Mr Blue,Kanumba,Diamond,model wa Namibia,Jose Maraa,Kigogo wa ikulu na watu kadhaa wasio na majina makubwa hapa town amewekwa katika list ya wateja wa kuangaliwa zaidi na shirika la umeme Tanzania mwaka 2016,habari kutoka ndani kabisa ya shirika hilo zinadai mwanadada huyo amelitia hasara kubwa sana shirika hilo tokea kuanzishwa kwake, ambapo Tanesco makao makuu wameamua kila siku asbuhi na jioni wanapita nyumbani kwa mnyange huyo kuangalia kama mita yake haijachezewa na vishoka ambapo pia wamedai kwamba sababu za mgao wa umeme kipindi cha nyuma Dar kilikuwa ni sababu ya matumizi mabaya ya umeme nyumbani kwa dada huyoo.
Naye mrembo huyo kuonesha kama kweli hatarudia tukio hilo ameamua kupunguza matumizi ya umeme hili kupunguza gharama ,ambapo ameuza AC zake zote na amenunua panga boy 3,ameongeza majiko mawili ya mkaa,amekataza watu kuangalia TV ovyo ovyo ambapo amewataka kuangalia habari na kipindi cha "IN MY SHOES" pekee,pia habari zinadai siku hizi huwa anaenda kwa Kadinda kupiga pasi
.
Mpaka tunaingia mitamboni miss huyo ambaye umri unazidi kumtupa mkono alikataa kuongea na sisi sababu alikuwa bize site na mafundi.
Kila la kheri la dada
Teh teh...Mada za Msaga sumu uwa za vituko tu..Mi uwa ananikoshaHa ha ha huyu jamaa utadhani wema kamlia vyake hata shigongo haoni ndani lol
Mmmh me hadi kesho napenda kile kipande chake kwenye heshima kwa wanawakeMwenzangu!Ya leo kali...
Mimi nilianza kumjua na kumkubali Jose Mara kwenye kile kipande kitamu alichoimba kwenye Hujafa Hujaumbika ya FM Academia "Kesho nikifumba macho nitajibu nini mbele ya haki eeeh,kumbe mali za dunia tu ni Sabuni ya roho........"
Na nilikuwa katoto balaaa....
Monica yupi?Si ni mume wake Monica......au hata Monica humjui.......?....