peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwa masikitiko makubwa Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya hakuna umeme leo ni siku ya 7.
Na uongozi wa TANESCO mkoa na Wilaya wakiulizwa wanasema ulizeni makao makuu ya Tanesco.
Mwenye namba ya simu ya makao makuu ya TANESCO tafadhali.
=============
UPDATES...
Mkurugenzi Huduma kwa Wateja TANESCO, Martin Mwambene amesema “Kuna kazi ya kuvuta ‘faiba’ (mfumo wa mawasiliano wa ndani ya TANESCO), Watalaam wa Mkonga wa Taifa kutoka Isangawana kwenda Kambi Katoto, tuna kazi ya kukata miti kuanzia Kawetere kwenye njia kuu, hivyo njia (line) yote ya Chunya umeme umetolewa asubuhi utarudishwa jioni ya saa kumi na mbili.”