TANESCO Wilaya ya Geita mnawezaje kufikisha siku tatu bila kutengeneza transfoma huku mitini dawa?

TANESCO Wilaya ya Geita mnawezaje kufikisha siku tatu bila kutengeneza transfoma huku mitini dawa?

budagala

Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
75
Reaction score
137
TANESCO GEITA badilikeni, mteja ni mfalme. Mmetukosea sana sisi wakazi wa mitini dawa hapa Makelemo bar na maeneo jirani.

Tangu Jumanne, Jumatano hadi leo hakuna umeme. Au ndo mnawahujumu CCM tuwanyime kura? Tumeshindwa kuwasha mashine wala kunyoosha nguo.

Vyakula kwenye majokofu vinaharibika Hatupigi pasi nguo. Kila tukiwapigia nanba yenu ya wateja 0744 085 696 wala hampokei na hamtupi taarifa yoyote. SHAME ON YOU
 
Back
Top Bottom