TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,600
- 2,134
UfafanuziTanesco nina swali
Nyumba inadaiwa umeme mil 7 mzee ndio alifanya huo uhuni na amefariki tunalipa laki moja kila mwezi ili tununue umeme je nyumba hii inaweza ikaombewa mita nyingine kwa ajili ya wapangaji huku tukiendelea kulipa hiyo laki moja ya kila mwezi
Kwa taratibu zetu nyumba yenye deni haiwezi kufungiwa mita nyingine kwa kuwa uzoefu unaonyesha kuwa wateja huwa wanaacha kutumia mita yenye deni na kuhamia mita mpya hivyo kusababishia shirika hasara.