TANESCO yamtafuta mtoto aliyeonekana akisoma kwa taa ya jirani ili kumsaidia

Habari, ndugu mteja na asante kwa kuwasiliana nasi.

Suala la bei tuliliongelea kua lipo katika mchakoto kwa maana ni jambo la kisheria ambayo husimamiwa na ewura wakishirikiana na wadau mbali mbali. Kwahiyo, wakati hili jambo litakua tayari kutolewa taarifa, umma utajulishwa.

Pia, fahamu bei haijabadilika tangia 2016 licha ya mabadiliko mbali mbali za kiuchumi kama mafuta, vifaa, na n.k. kwahiyo, bei kuendelea kutobadilika na kuleta huduma za matumizi nafuu ya umeme kama majiko janja, ruzuku kwa watumiaji umeme vijijini ni sehemu pia ya kuendeleza kutoa unafuu kwa wateja.

Ila kama tulivyosema, hili ni suala la kisheria na lipo katika mchako na namlaka husika itakuja kutoa muongozo.

Asante. GK.
 
TANESCO hongereni sana.Hilo ni jukumu la kumfikia kila mmoja kwa ajili ya kumwangazia malengo yake.Mnaridhisha kwa uwajibikaji wenu.
 
Habari, ndugu mteja.

Tunashukuru kwa ujumbe wako na tunaomba tuipoke kama taarifa ya kuifanyia kazi katika kuboresha huduma zetu.

Asante. ^GK
 
Habari, ndugu mteja.

Kama tulivyosema kuwa suala a bei lipo kisheria na husimamiwa na ewura wakishirikiana na wadau mbali mbali. Kwahiyo muda ukifika wa kutoa taarifa, umma itajulishwa.

Ila ujumbe wako, ndugu mteja, amini tumeipokea kama maoni katika mchakato wa kuboresha huduma zetu.

Asante. ^GK
 
Habari, ndugu mdau.

Tunashukuru sana kwa ujume wako na kwa upande wetu tunalifanyia kazi.

Asante. ^GK.
Hongereni kwa kupeleka umeme vijijjni kwa kasi, mjitahidi mmalizie asilimia 30 iliyobaki.
 
Habari, ndugu mdau wetu,

Tunashukuru kwa ujumbe wako na kwa upande wetu tunaomba tuipokee kama maoni kwaajili ya kuboresha huduma zetu.

Asante. ^GK
 

Ila ujamaa umetuharibu sana, kwamba tuunganishiwe umeme bure? Like serious serikali hii hii ambayo ina ofisi zake za watendaji hazina umeme 🤣.

Wao wasambaze nguzo tu karibu na kila mtaa, Ila kuingiza umeme kila mtu alipie na huko kijijini watumie umeme wa REA.
 
Aibu kwenu tanesco
Mimi nipo huku kijijini, unaongelea ruzuku ipi??? Acheni mambo yenu, vipi kutukata 2000 kila mwisho wa mwezi???? Nalenyewe tusubiri taratibu za kisheroa?! Huo utaratibu wa kisheria huwa unakuwa mrefu sana kama ni shida ya mwananchi ila ikiwa mnataka kuweka sheria kwa ajili ya kujinufaisha nyie huwa sheria inakuwa fupi sana kuifikia
kwa hiyo bila ya huyo mtoto kusomea kwenye hiyo taa tanesco wasingejua kwamba kuna mamilioni ya watanzagiza hawana umeme? cheap propaganda ...
Ni aibu kwakweli
 
Habari, ndugu mteja.

Ruzuku ni watumiaji wa vijijini wanalipia unit moja ya umeme tzs 100 badala ya 292 na ni kwa wanaotumia unit si zaidi ya 75 kwa mwezi.

Asante. ^HN
 
Hilo sio swala la TANESCO niuongozi WA nchi Kwa ujumla , serikali ndio wanaoamua
 
Hongereni kwa kupeleka umeme vijijjni kwa kasi, mjitahidi mmalizie asilimia 30 iliyobaki.
Habari, ndugu mteja. Tumepokea ujumbe wako wa shukrani kubwa na ni jambo linalofanyiwa kazi.

Asante. ^CM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…