Habari, ndugu mteja na asante kwa kuwasiliana nasi.TANESCO imejaa majinga mengi!
Msaada upi zaidi ya kufanya umeme kuwa wa gharama nafuu kwa kila Mtanzania kuanzia gharama za kuvutiwa umeme & Units za umeme!
Matokeo ya kuingiza siasa na Njaa kwenye mambo ya kitaalamu.
Je ni kwamba wataalamu wa TANESCO wamesomea Ujinga huko Vyuoni & shuleni!
Je waki-postiwa watoto 100 wanaosomea kwa kutumia mwanga wa nyumba ya Jirani, mtahitaji mawasiliano yao mjidai mnasaidia?
Hakuna kitendo cha Kishujaa hapo zaidi ya Kufikisha umeme kwa kila Mtanzania.
Habari, ndugu mteja.Nchi hii imekuwa ya ******* sana.Kwa hiyo ambao hawana umeme ambao hawajaonekana kwenye social media wao haina mpango nao?Badala ya kushusha bei ya kuunganishwa umeme kuwa 27000 kama zamani ili wtz woye wapage umeme wao wanaangalua mtu mmoja tu ambaye kaonekana kwenhe mitandao ya kijamii.Hovyo sana hili shirika
So tuamini kipi??
Habari, ndugu mteja.TANESCO mnashindwaje kupunguza gharama za kuunganisha umeme pamoja na kupunguza bei ya unit ya umeme!!?
Kwa nini msikopeshe wanaohitaji kuunganishiwa umeme(japokuwa kiuhalisia hii inatakiwa iwe bure) halafu mkawakata kila wanunuapo unit kama tunavyokatwa kodi ya jengo!!??
Hongereni kwa kupeleka umeme vijijjni kwa kasi, mjitahidi mmalizie asilimia 30 iliyobaki.Habari, ndugu mdau.
Tunashukuru sana kwa ujume wako na kwa upande wetu tunalifanyia kazi.
Asante. ^GK.
Habari, ndugu mdau wetu,Kwa nn wasiunganishie wateja Umeme bure kabisaa. Then charge zote ziwekwe kwenye kununua Luku. Mteja anaponunua Luku akatwe kias kidogo cha fedha kwa Muda fulani kama malipo ya kuunganishiwa umeme. Nina hakika hii ingeongeza idadi kubwa zaidi ya watu kupata huduma ya Umeme.
Kwa nn wasiunganishie wateja Umeme bure kabisaa. Then charge zote ziwekwe kwenye kununua Luku. Mteja anaponunua Luku akatwe kias kidogo cha fedha kwa Muda fulani kama malipo ya kuunganishiwa umeme. Nina hakika hii ingeongeza idadi kubwa zaidi ya watu kupata huduma ya Umeme.
Aibu kwenu tanescoHii inatufundisha na kutuonyesha kuwa kama Taifa kuna familia zinapitia changamoto nyingi mnoo...
Huku baadhi ya viongozi wakifuja na kufanya matumizi bila kujali lolote.
Kuna haja ya rasilimali zitumike na zinufaishe kila mmoja
Naamini kama kweli Pepo ipo na Mbinguni kupo pia sidhani kama wewe mwenye kufuja na kuiba hatma yako ni ipi kwa muumbaji wako.
We live everyday, we die once
Mimi nipo huku kijijini, unaongelea ruzuku ipi??? Acheni mambo yenu, vipi kutukata 2000 kila mwisho wa mwezi???? Nalenyewe tusubiri taratibu za kisheroa?! Huo utaratibu wa kisheria huwa unakuwa mrefu sana kama ni shida ya mwananchi ila ikiwa mnataka kuweka sheria kwa ajili ya kujinufaisha nyie huwa sheria inakuwa fupi sana kuifikiaH
Habari, ndugu mteja na asante kwa kuwasiliana nasi.
Suala la bei tuliliongelea kua lipo katika mchakoto kwa maana ni jambo la kisheria ambayo husimamiwa na ewura wakishirikiana na wadau mbali mbali. Kwahiyo, wakati hili jambo litakua tayari kutolewa taarifa, umma utajulishwa.
Pia, fahamu bei haijabadilika tangia 2016 licha ya mabadiliko mbali mbali za kiuchumi kama mafuta, vifaa, na n.k. kwahiyo, bei kuendelea kutobadilika na kuleta huduma za matumizi nafuu ya umeme kama majiko janja, ruzuku kwa watumiaji umeme vijijini ni sehemu pia ya kuendeleza kutoa unafuu kwa wateja.
Ila kama tulivyosema, hili ni suala la kisheria na lipo katika mchako na namlaka husika itakuja kutoa muongozo.
Asante. GK.
Ni aibu kwakwelikwa hiyo bila ya huyo mtoto kusomea kwenye hiyo taa tanesco wasingejua kwamba kuna mamilioni ya watanzagiza hawana umeme? cheap propaganda ...
Waliwezeshwa vizuri sana kipindi cha Magu, sijui sasa imekuwaje garama zimepanda unaffordable kwa wanachi wengi nchini.Sema jamaa wamejitahidi kupeleka umeme vijijini basi tu bajeti zinawabana.
Tajiri komenti yako itakuwa inalindwa na Wakuu wa wilaya.Nasoma comments za maskini kwanza ndo niandike yangu
Habari, ndugu mteja.Aibu kwenu tanesco
Mimi nipo huku kijijini, unaongelea ruzuku ipi??? Acheni mambo yenu, vipi kutukata 2000 kila mwisho wa mwezi???? Nalenyewe tusubiri taratibu za kisheroa?! Huo utaratibu wa kisheria huwa unakuwa mrefu sana kama ni shida ya mwananchi ila ikiwa mnataka kuweka sheria kwa ajili ya kujinufaisha nyie huwa sheria inakuwa fupi sana kuifikia
Ni aibu kwakweli
Habari, ndugu mteja. Tumepokea ujumbe wako kwa shukrani kubwa.Hongereni kwa kupeleka umeme vijijjni kwa kasi, mjitahidi mmalizie asilimia 30 iliyobaki.
Hilo sio swala la TANESCO niuongozi WA nchi Kwa ujumla , serikali ndio wanaoamuaTANESCO imejaa majinga mengi!
Msaada upi zaidi ya kufanya umeme kuwa wa gharama nafuu kwa kila Mtanzania kuanzia gharama za kuvutiwa umeme & Units za umeme!
Matokeo ya kuingiza siasa na Njaa kwenye mambo ya kitaalamu.
Je ni kwamba wataalamu wa TANESCO wamesomea Ujinga huko Vyuoni & shuleni!
Je waki-postiwa watoto 100 wanaosomea kwa kutumia mwanga wa nyumba ya Jirani, mtahitaji mawasiliano yao mjidai mnasaidia?
Hakuna kitendo cha Kishujaa hapo zaidi ya Kufikisha umeme kwa kila Mtanzania.
Kumradhi ndugu mteja😁😁Ila Tanesco wana upendo, kuomba radhi sasa.... kidogo tu wanaomba radhi, mi nawapenda sana
Hadi unatamani kumwambia bebe ajifunze kwa Tanesco kuomba radhiKumradhi ndugu mteja😁😁
Habari, ndugu mteja. Tumepokea ujumbe wako wa shukrani kubwa na ni jambo linalofanyiwa kazi.Hongereni kwa kupeleka umeme vijijjni kwa kasi, mjitahidi mmalizie asilimia 30 iliyobaki.