TANESCO yang’ara tuzo za umahiri wa mawasiliano kwa umma

TANESCO yang’ara tuzo za umahiri wa mawasiliano kwa umma

TANESCO

Official Account
Joined
Jul 12, 2014
Posts
5,210
Reaction score
2,779

📌Yanyakua tuzo nne katika vipengele mbalimbali

📌 Yatambuliwa kwa ubora katika mawasiliano ya kimkakati, elimu kwa umma na usimamizi wa mawasiliano wakati wa migogoro
 
Hehe! Pateni na tuzo ya ukataji wa umeme!.
Mi sijivunii hiyo tuzo yenu kwakweli maana huduma ya upatikanaji wa umeme walau hata kwa siku tatu pasipo kukata hiyo ni ndoto, upatikanaji wa umeme ndio inatakiwa iwe huduma no moja!.. mnazingua.
 
Habari, ndugu mteja.

Asante kwa kuwasiliana nasi, na pole kwa changamoto unayokumbana nayo.

Tafadhali, tunaomba utufahamishe eneo ulipo kwa kututajia jina la mtaa, wilaya na mkoa ili tuweze kufanya uchunguzi wa kina kuhusu changamoto yako na kuchukua hatua stahiki.

Lengo letu ni kuhakikisha kuwa tunatoa huduma bora kwa wateja wetu na kuwa karibu nao ili kutatua changamoto zao kwa wakati. Hivyo, tunaomba ushirikiano wako kwa kutupatia taarifa hizo ili tuweze kukusaidia kwa ufanisi zaidi.

Asante kwa ushirikiano wako. Karibu sana. ^RS
 
View attachment 3687530
📌Yanyakua tuzo nne katika vipengele mbalimbali

📌 Yatambuliwa kwa ubora katika mawasiliano ya kimkakati, elimu kwa umma na usimamizi wa mawasiliano wakati wa migogoro
Juzi mmeniunguzia motor zangu nyie sina hamu...aliyewapa tuzo anatumia line ya magogoni labda
 
Juzi mmeniunguzia motor zangu nyie sina hamu...aliyewapa tuzo anatumia line ya magogoni labda
Habari bullbar.

Asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tunaomba utufahamishe eneo ulipo kwa kututajia jina la mtaa, wilaya na mkoa ili tuweze kufanya uchunguzi wa kina kuhusu changamoto yako na kuchukua hatua stahiki.^RS
 
Back
Top Bottom