Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Bei ndogo sana hiyo.Billion 275 kwa megawatt 150 unasema good move,????pole Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei ndogo sana hiyo.Billion 275 kwa megawatt 150 unasema good move,????pole Sana
Chawa ni kama nyumbu tu, huwa hawaelewi. Akikuelewa unitag niko hapa chini ya mkorosho nimekaa nakunywa nipa ya mabibo.Issue sio kuzalisha hata Jangwani wanaweza kuzalisha kuzalisha ma_gigawatt let alone Megawatt issue ni tunazitunza vipi hizo megawatt ili wakati hakuna jua tuzitumie ? (Storage bado ni bottleneck kwenye solar)
Mafuta yalikuwa bei ganiBillioni 275 ni jingi Sana, hapa tumepigwa. IPTL walikuwa wanalipwa Tsh 4 Bilioni kwa mwezi, kwa Mwaka 48 Bilioni.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukishaaona huyo jamaa ujue amna chetu hap o hata wapambe kwa namna ganiSerikali Kupitia Tanesco imeandika Historia ya kusaini mkataba wa Kuzalisha Umeme wa Juna na kampuni ya China wenye thamani ya Shilingi Bilioni 275 ambao utazalisha megawatt 150 Kishapu ,Shinyanga na Kwa awamu ya kwanza Wataanza na megawatt 50.
Waziri wa Nishati January Makamba akishuhudia mkataba huo amepiga marufuku Tanesco kununua Umeme kutoka Kwa wazalishaji Kwa malipo ya dola badala yake Shilingi ndio ittumika..
Aidha amewataka Tanesco kuwawezesha wazawa Ili waweze kuzalisha umeme akisema hakuna maajabu Hadi wao washindwe..
My Take
Hongera sana Makamba,majungu achilia failures wewe endelea kuchapa kazi.
=======
Mkataba wa kwanza wa uzalishaji umeme Jua (MW 50) wasainiwa
Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imesaini mkataba wa kwanza wa uzalishaji wa umeme Jua wa kiasi cha megawati 50 utakaotekelezwa wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.
Mkataba huo umesainiwa tarehe 29 Mei, 2023 jijini Dodoma na kushuhudiwa na Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba ambaye alikuwa mgeni rasmi.
Kwa ujumla mradi huo wa umeme wa Jua ni wa megawati 150 ambapo awamu kwanza itajengwa mitambo itakayozalisha megawati 50 na awamu ya pili itajengwa mitambo ya megawati 100 kwa jumla ya shilingi bilioni 275. Utekelezaji wa mradi wa Awamu ya kwanza hautazidi miezi 12.
Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri wa Nishati amesema kuwa “kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi tunaingiza umeme wa Jua katika gridi ya Taifa, nimpomgeze Rais wetu kwa kwa muongozo na uongozi ambao umepelekea nchi kuaminiwa na washirika wa maendeleo ikiwemo Shirika la Maendeleo la Ufaransa ambalo limetoa mkopo ambao utatekeleza mradi huu.”
Ameeleza kuwa, utekelezaji wa mradi huo wa Jua ni jitihada za Serikali za kuhakikisha inatengeneza mchanganyiko wa umeme wenye afya katika gridi ya Taifa ambao utatokana na vyanzo mbalimbali kama vile maji, gesi, upepo na Jua ili hata pale chanzo moja kinapotetereka, vyanzo vingine vitaendelea kuzalisha umeme.
Waziri Makamba amesema kuwa, ili kuongeza zaidi uzalishaji wa umeme kwa kutumia nishati jadidifu, Serikali inakuja na Sera mpya ya Nishati Jadidifu (iko kwenye maandalizi) ambayo itasaidia nchi kuongeza uwekezaji kwenye eneo hilo kwani fedha nyingi duniani, masoko ya mitaji na teknolojia mpya zinajielekeza kwenye nishati jadidifu.
Ameongeza kuwa, kwa sasa kazi inayofanyika pia ni kuainisha maeneo yaliyo na rasilimali ya nishati jadidifu na kipaumbele kitakuwa kwa wazawa kuwekeza kwenye miradi kama ya Upepo na Jua na Serikali itawaunga mkono na kwamba Serikali itakuja na muongozo wa utekelezaji wa suala hilo.
Ameongeza kuwa, kwa maeneo yaliyo nje ya gridi kama vile visiwa, bado Serikali itaendelea kuwezesha jitihada za kupelewa umeme kwa kutumia miradi ya nishati jadidifu kama vile Jua na Upepo.
Energy mix, huwezi tegemea Maji tu ikitokea hitilafu nchi itaingia gizani tuanze kulalamika hujuma!!Issue sio kuzalisha hata Jangwani wanaweza kuzalisha kuzalisha ma_gigawatt let alone Megawatt issue ni tunazitunza vipi hizo megawatt ili wakati hakuna jua tuzitumie ? (Storage bado ni bottleneck kwenye solar)
Kwanini wanunue ili wauze ?, Kwanini wazimalize Bwawa la JKN haraka na lianze kazi ili badala ya kununua wao ndio wauze ?
Hili jina mi nikilisikia tu najua tayari kashatupangaSjui kwann nikisikia Makamba nawaza upigaji
"Delusion" zako tu hizo.....Sjui kwann nikisikia Makamba nawaza upigaji
Huu ndio mchango wako wa mawazo katika uamuzi huu kuntu wa mh.Makamba?!!!![emoji1787]Kizazi cha nyoka mlichoka, kimekuja kizazi cha mjusi kunyweni juisi
Megawati 150 ni kidogo?!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]Billion 275 kwa megawatt 150 unasema good move,????pole Sana
[emoji7]Wewe unataka iwe bei gani? Mradi gani wa Maji unaweza uzalishaji megawatt 150 Kwa bil.275?
Serikali Kupitia Tanesco imeandika Historia ya kusaini mkataba wa Kuzalisha Umeme wa Juna na kampuni ya China wenye thamani ya Shilingi Bilioni 275 ambao utazalisha megawatt 150 Kishapu ,Shinyanga na Kwa awamu ya kwanza Wataanza na megawatt 50.
Waziri wa Nishati January Makamba akishuhudia mkataba huo amepiga marufuku Tanesco kununua Umeme kutoka Kwa wazalishaji Kwa malipo ya dola badala yake Shilingi ndio ittumika..
Aidha amewataka Tanesco kuwawezesha wazawa Ili waweze kuzalisha umeme akisema hakuna maajabu Hadi wao washindwe..
My Take
Hongera sana Makamba,majungu achilia failures wewe endelea kuchapa kazi.
=======
Mkataba wa kwanza wa uzalishaji umeme Jua (MW 50) wasainiwa
Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imesaini mkataba wa kwanza wa uzalishaji wa umeme Jua wa kiasi cha megawati 50 utakaotekelezwa wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.
Mkataba huo umesainiwa tarehe 29 Mei, 2023 jijini Dodoma na kushuhudiwa na Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba ambaye alikuwa mgeni rasmi.
Kwa ujumla mradi huo wa umeme wa Jua ni wa megawati 150 ambapo awamu kwanza itajengwa mitambo itakayozalisha megawati 50 na awamu ya pili itajengwa mitambo ya megawati 100 kwa jumla ya shilingi bilioni 275. Utekelezaji wa mradi wa Awamu ya kwanza hautazidi miezi 12.
Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri wa Nishati amesema kuwa “kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi tunaingiza umeme wa Jua katika gridi ya Taifa, nimpomgeze Rais wetu kwa kwa muongozo na uongozi ambao umepelekea nchi kuaminiwa na washirika wa maendeleo ikiwemo Shirika la Maendeleo la Ufaransa ambalo limetoa mkopo ambao utatekeleza mradi huu.”
Ameeleza kuwa, utekelezaji wa mradi huo wa Jua ni jitihada za Serikali za kuhakikisha inatengeneza mchanganyiko wa umeme wenye afya katika gridi ya Taifa ambao utatokana na vyanzo mbalimbali kama vile maji, gesi, upepo na Jua ili hata pale chanzo moja kinapotetereka, vyanzo vingine vitaendelea kuzalisha umeme.
Waziri Makamba amesema kuwa, ili kuongeza zaidi uzalishaji wa umeme kwa kutumia nishati jadidifu, Serikali inakuja na Sera mpya ya Nishati Jadidifu (iko kwenye maandalizi) ambayo itasaidia nchi kuongeza uwekezaji kwenye eneo hilo kwani fedha nyingi duniani, masoko ya mitaji na teknolojia mpya zinajielekeza kwenye nishati jadidifu.
Ameongeza kuwa, kwa sasa kazi inayofanyika pia ni kuainisha maeneo yaliyo na rasilimali ya nishati jadidifu na kipaumbele kitakuwa kwa wazawa kuwekeza kwenye miradi kama ya Upepo na Jua na Serikali itawaunga mkono na kwamba Serikali itakuja na muongozo wa utekelezaji wa suala hilo.
Ameongeza kuwa, kwa maeneo yaliyo nje ya gridi kama vile visiwa, bado Serikali itaendelea kuwezesha jitihada za kupelewa umeme kwa kutumia miradi ya nishati jadidifu kama vile Jua na Upepo.
IPTL ilianza mwaka 1994....unamzungumzia "currency rate" ya kipindi hicho na sasa ?!!!Billioni 275 ni jingi Sana, hapa tumepigwa. IPTL walikuwa wanalipwa Tsh 4 Bilioni kwa mwezi, kwa Mwaka 48 Bilioni.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Pinga pinga u kazini..Hamna cha umeme Wala nini hii Hela yote inaliwa .
[emoji7][emoji7]Siyo mbaya...make hapo ni kama panels 125,000 ambayo ni sawa na Bilioni 62. Ukiongeza na storage batteries bank...cabling system pamoja na kujenga msongo wa kuinganisha kwenye line ya kuisafirisha. Naona gharama inakuja hapo.
Shida ni je tumejiandaa kwa ajili ya kuitunza na kubadilisha panels kwa muda muafaka? Make kwa uchafuzi huu wa TANESCO sijui....??
"Unajilea" kijinga....Hili jina mi nikilisikia tu najua tayari kashatupanga
Chande akihojiwa na wahariri alisema umeme wa bwawa hautoshi kuleta mapinduzi ya viwanda,akatolea mfano wa Mgodi wa GGM pekee kwamba utatumia megawatt za Mikoa 3 Kwa pamoja Sasa Wakiwa na migodi 10 Kuna umeme?Tulisha sema hapa kwamba umeme wa bwawa la Myerere hautoshi naona sasa wanaanza kutuelewa. Wale waliosema tutauza nje 🤔 vipi wakati bado tunatumia pesa kuzalisha umeme
Umeme wa jua na upepo siku zote kwa africa ni utapeliSerikali Kupitia Tanesco imeandika Historia ya kusaini mkataba wa Kuzalisha Umeme wa Juna na kampuni ya China wenye thamani ya Shilingi Bilioni 275 ambao utazalisha megawatt 150 Kishapu ,Shinyanga na Kwa awamu ya kwanza Wataanza na megawatt 50.