TANESCO yasaini mkataba wa kuzalisha Umeme Jua MW 150 Kwa Bilioni 275. Waziri Makamba apiga marufuku mauziano ya Umeme kwa Dola

Issue sio kuzalisha hata Jangwani wanaweza kuzalisha kuzalisha ma_gigawatt let alone Megawatt issue ni tunazitunza vipi hizo megawatt ili wakati hakuna jua tuzitumie ? (Storage bado ni bottleneck kwenye solar)
Chawa ni kama nyumbu tu, huwa hawaelewi. Akikuelewa unitag niko hapa chini ya mkorosho nimekaa nakunywa nipa ya mabibo.
 
Siyo mbaya...make hapo ni kama panels 125,000 ambayo ni sawa na Bilioni 62. Ukiongeza na storage batteries bank...cabling system pamoja na kujenga msongo wa kuinganisha kwenye line ya kuisafirisha. Naona gharama inakuja hapo.

Shida ni je tumejiandaa kwa ajili ya kuitunza na kubadilisha panels kwa muda muafaka? Make kwa uchafuzi huu wa TANESCO sijui....??
 
Ukishaaona huyo jamaa ujue amna chetu hap o hata wapambe kwa namna gani
 
Energy mix, huwezi tegemea Maji tu ikitokea hitilafu nchi itaingia gizani tuanze kulalamika hujuma!!

Ila kuhusu wao kununua ni hoja nzito, ilipaswa huu uwe mradi wao sio Tena wanunue then watuuzie wateja wa mwisho.
 
Kongole kwake mh.J Makamba[emoji109]

Ni uamuzi kuntu kabisa.....

Mazuri yanaonekana [emoji106]

#SiempreJMT[emoji120]
 


Tulisha sema hapa kwamba umeme wa bwawa la Myerere hautoshi naona sasa wanaanza kutuelewa. Wale waliosema tutauza nje 🤔 vipi wakati bado tunatumia pesa kuzalisha umeme
 
[emoji7][emoji7]
 
Tulisha sema hapa kwamba umeme wa bwawa la Myerere hautoshi naona sasa wanaanza kutuelewa. Wale waliosema tutauza nje 🤔 vipi wakati bado tunatumia pesa kuzalisha umeme
Chande akihojiwa na wahariri alisema umeme wa bwawa hautoshi kuleta mapinduzi ya viwanda,akatolea mfano wa Mgodi wa GGM pekee kwamba utatumia megawatt za Mikoa 3 Kwa pamoja Sasa Wakiwa na migodi 10 Kuna umeme?
Pia alisema kusafisha chuma kile Cha Liganga inahitaji megawatt 700 na mbaya zaidi umeme wa Mwalimu Nyerere hauingii kwenye grid Kwa pamoja Bali utaingia Kwa awamu yaani 700*3 .
 
Umeme wa jua na upepo siku zote kwa africa ni utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…