TANESCO yatangaza kufanya maboresho kituo cha umeme Ubungo. Baadhi ya maeneo Dar, Zanzibar na Pwani kukosa Umeme

TANESCO yatangaza kufanya maboresho kituo cha umeme Ubungo. Baadhi ya maeneo Dar, Zanzibar na Pwani kukosa Umeme

unawazungumzia watanzania gani? au wewe na jamaa zako?
uzalendo ndugu haya mashirika ya uma ni kama yamekua yakitenda matendo ya huruma kwa watanzania yamejitoa kwa kila namna kuwaudumia watanzania kila kukicha meku
 
Hongereni Tanesco tumetoka KVA Sasa ni MVA

Mtu mmoja anisaidie
KVA ni kipimo cha Nini?
MVA ni kipimo cha Nini?
 
uzalendo ndugu haya mashirika ya uma ni kama yamekua yakitenda matendo ya huruma kwa watanzania yamejitoa kwa kila namna kuwaudumia watanzania kila kukicha meku
wewe ni mmoja wa wanaokula kwa urefu wa kamba zao? huruma ipi unayoizungumzia?
 
Hu hu umeme tunaoambiwa na Lucas Mwashambwa kwamba Unabubujika😁 mpaka banataka kuuza nje? Nani ataununua umeme wa kukatika katika?

.. wanajua wanafanya nn, ikifika pahali tuseme "poa uzeni"
 
Back
Top Bottom