The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME
KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MBAGALA NA KIGAMBONI

Jumatatu, 08 Septemba 2025
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa maeneo ya Mbagala na Kigamboni kuwa kumetokea hitilafu ya umeme leo tarehe 08 Septemba 2025 katika njia ya umeme kutoka Kituo cha Kupoza Umeme cha Kurasini kuelekea Kituo cha Kupoza Umeme cha Dege Beach, Kigamboni.
Hitilafu hii imesababisha baadhi ya wateja katika maeneo ya hayo kukosa huduma ya umeme.
Mafundi wetu tayari wako kazini wanaendelea na matengenezo, huduma ya umeme inatarajiwa kurejea ifikapo saa 12:00 jioni. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza.
Imetolewa Na:
KURUGENZI YA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA WATEJA TANESCO MAKAO MAKUU DODOMA