TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima

Kwenye awamu ya 5 TANESCO waliamuliwa kuwasha umeme nchi nzima bila kuzingatia matengenezo - sasa vinu vimechoka na haya ndiyo madhara yake.
Leo wamesema wamepunguza mgao, kwa hiyo hivyo vitu vimeacha kuchoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…