Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Mwenda kaenda na vingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Wa mchongo huyuHakuna kitu kibaya kama kuwa na kiongozi ambaye hajapigiwa kura, hana cha kupoteza
Kwahiyo ni bora Raisi Dikteta?udhaifu
Jua gani unalolizungumzia ndugu phile?Acha kuwa msambazaji wa chuki. Kiongozi wako alizunguka nchi nzima na marehemu JPM kuomba kura. Kasota juani kutafuta kura hivyo anayo haki ya kuongoza Tanzania.
Wakati wa kampeni akitembea na helikopta nchi nzima.Jua gani unalolizungumzia ndugu phile?
Vumilia tu mkuu greenwoods, kuanzia february 1 mpaka 10 siku tisa. Isiwe ni siku tisa za kisiasa wakaziongeza.Ndo atufanyie huu uthenge !? Au kisa kwake kuna standby generator na line ya ikulu hainaga mgao.
Utafurahi matengenezo yakikamilikaWai wanatuonaje kila siku wanatudanganya kama mazuzu
Wai wanatuonaje kila siku wanatudanganya kama mazuzu
Mtwara na Lindi umeme unawaka 24/7.Hivi kuna sehemu Tz umeme huwa 24/7?
Maana unaelezewa kama ndio mara ya kwanza mgao unaanza
Sisi tumeamua kuweka solar miaka mingi tu
SawaUtafurahi matengenezo yakikamilika