Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Mnakomeshwa sabab wanyonge mlifaid na mafisad walipata shida. So mnakomeshwa kisawasawaWalimtoa Kalemani wizara ya nishati ili watimize malengo na hujuma zao kwa TANESCO na kwa waTanzania…….. yaani mgao unalazimishwa pasipo sababu za msingi!
Sent using Jamii Forums mobile app