Tukisema NAPE na MAKAMBA ni watu wa hovyo na vilaza tunaonekana sisi ni Sukuma gang haya endeleeni. KAZI iendeleeUwanja wa Taifa una hudumiwa na vyanzo viwili vya Umeme. TANESCO na Majenereta ya uwanja.
Mechi ya leo uwanja ulikuwa unahudumiwa na Majenereta ya uwanja.
Baada Majenereta kushindwa kufanya Kazi katikati ya mchezo na taa kuzimika uwanja uliamua kutumia chanzo cha TANESCO na mchezo ukaendelea.
Tunasikitika kwa kadhia iliyo iliyo jitokeza na tutashirikiana na wenzetu kwa siku za usoni jambo hili lisijirudie.
Sheria ya car inataka kutumika majeneretaKwanini uwanja utumie majenereta mwanzoni? Umeme wa TANESCO ulikuwaje mpaka ikabidi watumie jenereta
Ni takataka za chooni kabisa....tz tunaye Rais mzigo tena mzigo mkubwa sanaTukisema NAPE na MAKAMBA ni watu wa hovyo na vilaza tunaonekana sisi ni Sukuma gang haya endeleeni. KAZI iendelee
Rais anahusika na taa za Uwanjani??Ni takataka za chooni kabisa....tz tunaye Rais mzigo tena mzigo mkubwa sana
Sasa Nape na Makamba wanaingiaje hapo?Tukisema NAPE na MAKAMBA ni watu wa hovyo na vilaza tunaonekana sisi ni Sukuma gang haya endeleeni. KAZI iendelee
Mwamba kaangalia rede dk 15 kaona haelewi ,kazima zake umeme kaenda kupumzika wikiendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujinga mtupu.
Na huku mtaani nilipo umeme ulikatika nusu saa baada ya kurudi kule taifa na huku ni majenereta?
albumIla ni jambo la album mno kwa nchi
kitendo cha umeme kukatika kungeweza kupelekea pengine watu kubakwa