TANESCO yatoa tamko kuzimika kwa taa za uwanjani mechi ya Shirikisho

TANESCO yatoa tamko kuzimika kwa taa za uwanjani mechi ya Shirikisho

Mara ya ngapi hii? Huku kushirikiana siku za usoni bado tu hamjaanza si ndio? Poor country in everything 😭😭😭🤧🤧🤧🤧🤧
 
Hii ni mara ya pili taa kuzima wakati mechi inaendelea! Tutaendelea na aibu mpaka lini?
 
Jamani tumesoma Mlimani tuna akili, tangazo linasema uwanja ulitumia majereneta kwanza sio umeme wa Tanesco hii ni hujuma kabisa laivu! Yaani uwanja wa Taifa mechi kubwa tunaanza na majereneta kweli? Zima umeme kote washa uwanjani tu hiyo ndio akili ya kizungu sio watu stupid wanaoongoza wizara ya nishati

Bimkubwa please wapumzishe wahusika wote Waziri, TFF, Wahusika wa uwanja wote Kwa pamoja wamemuabisha sana Rais wetu duniani Tena second time!
 
IMG_5691.jpg
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Tuna hitaji kuandaa afcon kwa hali hii
mechi ipo live Africa inatazama na dunia nzima
TANESCO rekebisha hili tatizo lisijirudie tena
Hapa Tanzania Ni nyumbani naipenda Tanzania

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Rais anahusika na taa za Uwanjani??
Kwa sababu akili yako inatosha kuvua na kuvaa chupii . Basi ni vigumu kuelewa Rais ana husika vipi...nikuulize swali kwanini kipindupindi kilikoma tz baada ya JPM kuwa Rais tu. Huo ni mfano mdogo tu Rais akiwa mpuuzi usababisha kuwa na viongozi wapuuzi
 
Tukisema NAPE na MAKAMBA ni watu wa hovyo na vilaza tunaonekana sisi ni Sukuma gang haya endeleeni. KAZI iendelee
Utadhani matatizo ya hii nchi yameletwa na Sukuma Gang. Hivi ukilimganisha gangs zote ipi ilikuwa na manufaa kwa taifa?

Acha inyeshe, pavuje na pabovu paonekane.
 
Uwanja wa Taifa una hudumiwa na vyanzo viwili vya Umeme. TANESCO na Majenereta ya uwanja.

Mechi ya leo uwanja ulikuwa unahudumiwa na Majenereta ya uwanja.

Baada Majenereta kushindwa kufanya Kazi katikati ya mchezo na taa kuzimika uwanja uliamua kutumia chanzo cha TANESCO na mchezo ukaendelea.

Tunasikitika kwa kadhia iliyo iliyo jitokeza na tutashirikiana na wenzetu kwa siku za usoni jambo hili lisijirudie.

View attachment 2605414
Sasa kubadilisha toka majenereta hadi kuunganisha tanesco ndo ichukue nusu saa nzima? Hayo maelezo ni aibu tupu!!
 
Back
Top Bottom