Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo ni kiongozi wa serikali na uwanja ni wa serikali.Rais anahusika na taa za Uwanjani??
Album???Ila ni jambo la album mno kwa nchi
Sina cha kukujibu kama huwezi kuunganisha matukio na hao viumbe.Sasa Nape na Makamba wanaingiaje hapo?
Mimi naona watu ama mnachuki TU au mnakariri TU.Sina cha kukujibu kama huwezi kuunganisha matukio na hao viumbe.
Kwa sababu akili yako inatosha kuvua na kuvaa chupii . Basi ni vigumu kuelewa Rais ana husika vipi...nikuulize swali kwanini kipindupindi kilikoma tz baada ya JPM kuwa Rais tu. Huo ni mfano mdogo tu Rais akiwa mpuuzi usababisha kuwa na viongozi wapuuziRais anahusika na taa za Uwanjani??
Utadhani matatizo ya hii nchi yameletwa na Sukuma Gang. Hivi ukilimganisha gangs zote ipi ilikuwa na manufaa kwa taifa?Tukisema NAPE na MAKAMBA ni watu wa hovyo na vilaza tunaonekana sisi ni Sukuma gang haya endeleeni. KAZI iendelee
Sasa kubadilisha toka majenereta hadi kuunganisha tanesco ndo ichukue nusu saa nzima? Hayo maelezo ni aibu tupu!!Uwanja wa Taifa una hudumiwa na vyanzo viwili vya Umeme. TANESCO na Majenereta ya uwanja.
Mechi ya leo uwanja ulikuwa unahudumiwa na Majenereta ya uwanja.
Baada Majenereta kushindwa kufanya Kazi katikati ya mchezo na taa kuzimika uwanja uliamua kutumia chanzo cha TANESCO na mchezo ukaendelea.
Tunasikitika kwa kadhia iliyo iliyo jitokeza na tutashirikiana na wenzetu kwa siku za usoni jambo hili lisijirudie.
View attachment 2605414