zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hapana kuna mbinu zingine mfano kuondoa kodi kadhaa kwa kampuni ambazo zinaongeza thamani ya bidhaa kwa ajili ya kuuza nje. Na ndio uwepo wa EPZA upo kwa ajili hiyo, so issue sio umeme tu kma kuna kodi zingine zitaondolewa bado tunabaki competitive.Bidhaa zetu haziwezi kushindana na siko la nje kama tutaendwlea kuj8kita kwenye uzalishaji kwa ghalama kubwa ya umeme.
Kwa hizi akili Tz bado sana.Huna gesi wewe. Ile gesi pale ni ya wachimbaji ya kwetu bado iko ardhini ila ikishachimbwa ikawa nje sio yetu. Hatuna gesi.
Hii wizara ameingia mjuaji na amekutana na wajuaji. Ngoja tuone itaishia wapi. Ila kuna mtu atasalimu amri muda sio mrefu.Duuuu lazima tuchanganyikiwe mwaka huu yani hii wizara kila mtu msemaji na ni kambale...
Dangote kwa sasa Malori yake yanashifti from mafuta kwenda gas na hapo unasema?Elimu hapa, gesi ni mafuta yaliyo kwenye hali ya kimiminika.
Kama umeme wa mafuta ni gharama na gesi nao ni gharama vile vile kwakua vyanzo vinafanana, tofauti ni wingi wa nishati kwa ujazo unaofanana (volume in cubic metres)
Tunauziwa sababu hatuna hayo matrilioni ya kuchimba hyo gesi.
Elimu hapa, gesi ni mafuta yaliyo kwenye hali ya kimiminika.
Kama umeme wa mafuta ni gharama na gesi nao ni gharama vile vile kwakua vyanzo vinafanana, tofauti ni wingi wa nishati kwa ujazo unaofanana (volume in cubic metres)
Basi TANESCO wajaribu umeme wa upepo kama umeme wa gesi ni ghali.TANESCO katika mpango mkakati wake wa miaka mitano imesema pamoja na kupungua utegemezi wa matumizi ya mafuta mazito kuzalishia umeme, gesi nayo majanga. Gharama ya kufikisha gesi kwenye vituo vya kuzalishia umeme kutoka inapochimbwa inabakisha gharama ya uzalishaji wa umeme kuendelea kuwa juu...
ππππ€£Nadhani mpaka sasa gesi yetu ni ile ambayo ipo tumboni mwetu punde tukishakula maharage .
Not necessarily, ukikopa ukajenga nyumba sio lazima atakae kaa kwenye nyumba yako alipe kodi kubwa ili umalize mkopo...Na mkopo tuliochukua kujenga Stiegler una masharti magumu ya kibiashara, hivyo umeme wa maji nao utakuwa wa bei ghali kufidia gharama za kulipa mkopo.
Mafuta unanunua kutoka UARABUNI, Na gesi unaipata kutoka KUSINI kwa NCHI YAKO. Kupanga ni KUCHAGUA.Elimu hapa, gesi ni mafuta yaliyo kwenye hali ya kimiminika.
Kama umeme wa mafuta ni gharama na gesi nao ni gharama vile vile kwakua vyanzo vinafanana, tofauti ni wingi wa nishati kwa ujazo unaofanana (volume in cubic metres)
Hajui lolote, hii nchi kila mtu mjuaji.. Dangote kachukua gesi anatumia kiwandani kwake, na hata siku moja husikii kuna shida ya umeme au amepandisha bei ya saruji.Dangote kwa sasa Malori yake yanashifti from mafuta kwenda gas na hapo unasema?
UMEWAHI KUFIKA MTWARA AU LINDI??? KAMA GAS NI GHARAMA KWANINI BEI NI SAWA KWA WATU WA KUSINI NA MIKOA MINGINE AMBAYO HAWATUMII UMEME WA GAS?Sitaki kuamini kama gharama za uchimbaji gesi iliyo chini ya maji baharini zinalingana na gharama za solar au wind.
Ni kitu gani kinachowasukuma wanasiasa kukomaa na umeme wa gas licha ya gharama kubwa iliyopo huko?...
Japo sijakuelewa ulichoandika, kama uchimbaji wa gas usingekuwa wa gharama tusingekuwa tunauziwa kwa bei ya juu, gharama za uchimbaji ndizo zinasababisha bei kuwa juu kwa mtumiaji, ndio maana nataka vyanzo vingine visivyo na gharama kama upepo na jua vitumike.UMEWAHI KUFIKA MTWARA AU LINDI??? KAMA GAS NI GHARAMA KWANINI BEI NI SAWA KWA WATU WA KUSINI NA MIKOA MINGINE AMBAYA HAWATUMII UMEME WA GAS??
Haaaaa πππ yaani kila mtu anasema lake, Waziri anasema hili,pm lile,Meneja wa mitambo nae ana yake yaani shida tupu.Duuuu lazima tuchanganyikiwe mwaka huu yani hii wizara kila mtu msemaji na ni kambale...
Not necessarily, ukikopa ukajenga nyumba sio lazima atakae kaa kwenye nyumba yako alipe kodi kubwa ili umalize mkopo.
Mashariti magumu kama yapi?..Na mkopo tuliochukua kujenga Stiegler una masharti magumu ya kibiashara, hivyo umeme wa maji nao utakuwa wa bei ghali kufidia gharama za kulipa mkopo.
Hapo kwenye YETU una uhakika ya kwenu? Husiwaone Tanesco na Mwendazake ni wajinga kukimbilia umeme wa maji.UMEWAHI KUFIKA MTWARA AU LINDI??? KAMA GAS NI GHARAMA KWANINI BEI NI SAWA KWA WATU WA KUSINI NA MIKOA MINGINE AMBAYO HAWATUMII UMEME WA GAS??
Tatizo mliaminishwa ujinga sana. We unadhani Prof Muhongo aliokotwa UDSM? Watz tuna ujuaji mwingi sana. Gesi ni chanzo cha uhakika kwa umeme. Gharama lazima ziwe kubwa kwa mwanzoni lkn wakifika at EP taratibu utaona bei inakuwa ya kawaida sana. Gesi ni rasilimali yetu. Na kama ingekuwa ya kwao kwann wasijenge viwanda wakauza nje wao wenyewe?