Mikataba ya ovyo ya awamu ya nne. Inawezekana tuliwapa visima viwe vyao. Kwa hivyo kuna siku watasema hawatuuzii wanauza hukohuko baharini.Gesi ni yetu wenyewe lakini tunauziwa kwa gharama Sasa tuna manufaa gani hii maliasili?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mashariti magumu kama yapi?
How much?RIBA kubwa ya mkopo.
Tanesco wameongelea kwa uzito kuhusu gharama za kuitoa gesi Mtwara mpaka Kinyerezi inapotakiwa kutumika kuzalishia umeme..Gesi ni yetu wenyewe lakini tunauziwa kwa gharama Sasa tuna manufaa gani hii maliasili?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwanini esi isibakie hapo hapo Mtwara na mitambo ikajengwa hapo hapo?Tanesco wameongelea kwa uzito kuhusu gharama za kuitoa gesi Mtwara mpaka Kinyerezi inapotakiwa kutumika kuzalishia umeme..
Walimtoa ili wamuweke huyu ostadh waoHii wizara ameingia mjuaji na amekutana na wajuaji. Ngoja tuone itaishia wapi. Ila kuna mtu atasalimu amri muda sio mrefu.
Ni ukweli usiofichika kwamba thermal power plants are more expensive than hydro ones. The best option is to mix the two in a certain prudent propotional.
Nishati lazima mtu mzalendo na muelewa akae pale. Dr. Tito Mwinuka sijui kwanini wamemuondoa maana alikuwa anafaa sana kwenye kiti kile kwa jinsi alivyo
Hapa lazima tuchapane makonda, wa gesi wa maji na sisi wa hewaGesi ni yetu wenyewe lakini tunauziwa kwa gharama Sasa tuna manufaa gani hii maliasili?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wakati huo labda ccm isiwepoPolicy changes awamu ya 4 gas awamu ya 5 hydro awamu ya 6 wind solar geothermal.
Gas ya uhakika lakini ghali hatuna trillions za exploration rigs special pipes refineries.
Lakini wataalam wetu wanashindwa kushauri focus iwe wapi kwanza ambayo iko efficient ktk time resources and financial resources tukapriotize.
Hizo options za wind, solar na geothermal zinahitaji muda nazo na kwa mabadiliko tabia nchi uhakika wa mvua ni mdogo sana.
Jopo la wataalam wakae na kishauri option hipi ni ya haraka na nafuu
Duuuu lazima tuchanganyikiwe mwaka huu yani hii wizara kila mtu msemaji na ni kambale...
Prof Muhongo kurudishwa wizara ya Nishati in due time. Quote itUMEWAHI KUFIKA MTWARA AU LINDI??? KAMA GAS NI GHARAMA KWANINI BEI NI SAWA KWA WATU WA KUSINI NA MIKOA MINGINE AMBAYO HAWATUMII UMEME WA GAS??
Tatizo mliaminishwa ujinga sana. We unadhani Prof Muhongo aliokotwa UDSM? Watz tuna ujuaji mwingi sana. Gesi ni chanzo cha uhakika kwa umeme. Gharama lazima ziwe kubwa kwa mwanzoni lkn wakifika at EP taratibu utaona bei inakuwa ya kawaida sana. Gesi ni rasilimali yetu. Na kama ingekuwa ya kwao kwann wasijenge viwanda wakauza nje wao wenyewe?
Nakwambia ukweli ni WAJINGA, ujinga maana yake ni kutojua kitu.Hapo kwenye YETU una uhakika ya kwenu? Husiwaone Tanesco na Mwendazake ni wajinga kukimbilia umeme wa maji.
Waliona mikataba ndio maana wakakimbilia umeme wa maji sababu gharama ni nafuu, hii 70tn walio ingia juzi tu Octoba jamaa atairudisha vp na kwa miaka mingapi?Nakwambia ukweli ni WAJINGA, ujinga maana yake ni kutojua kitu
Sikia mkuu, hizo ulizosikia ni uchimbaji mpya wa visima vipya. Mnazibay, Msimbati, songosongo tayari kuna visima vya Gesi na hatua hiyo imeshapita, Dangote anauziwa Gesi na anazalisha umeme wake mwenyewe kupitia hiyo gesi. Gesi itauzwa majumbani, na viwandani lkn pia itatumika kama chanzo cha umeme wa uhakika. Umefikiria 70T kwa maono mafupi, mradi wowote lazima uwe na payback period, na hapo unapimwa kwa short term, medium, au Long term na kwa investment hiyo ujue ni Long term yaan kuanzia miaka 10 na kuendelea, umeme wa uhakika utaleta vichocheo halisi vya uchumi kama viwanda nk hivyo kupelekea pato kubwa la nchi na TANESCO hata kuweza kulipa hilo deni.Waliona mikataba ndio maana wakakimbilia umeme wa maji sababu gharama ni nafuu, hii 70tn walio ingia juzi tu Octoba jamaa atairudisha vp na kwa miaka mingapi?
Mpaka wakimbilia huko, jua wanachokifanya wana kifahamu.
Watu wanapiga pesa taratibuDuuuu lazima tuchanganyikiwe mwaka huu yani hii wizara kila mtu msemaji na ni kambale...
Sasa ile ya songosongo kilwa na msimbati mtwara n Mali ya NaniTanesco wameongelea kwa uzito kuhusu gharama za kuitoa gesi Mtwara mpaka Kinyerezi inapotakiwa kutumika kuzalishia umeme..
Tayari umeshamsahau Jiwe kwa kutoka avatar picha yake aliyovaa magwanda na kuweka picha ya mama kujipendekeza wewe ni mnafik tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna kitu kinatafutwa. Thread zinafunguliwa kila siku. Kuna mazingira ya upigaji yanaandaliwa. Makamba na Zitto kazini.Huu ndiyo mzizi wa kutangaziwa mabwawa yamekauka.
Haya makampuni yanataka yarudi kuiuzia Tanesco
Umeme wa uhakika na KWA GHARAMA NAFUU, hiki ndicho cha muhimu.Sikia mkuu, hizo ulizosikia ni uchimbaji mpya wa visima vipya. Mnazibay, Msimbati, songosongo tayari kuna visima vya Gesi na hatua hiyo imeshapita, Dangote anauziwa Gesi na anazalisha umeme wake mwenyewe kupitia hiyo gesi. Gesi itauzwa majumbani, na viwandani lkn pia itatumika kama chanzo cha umeme wa uhakika. Umefikiria 70T kwa maono mafupi, mradi wowote lazima uwe na payback period, na hapo unapimwa kwa short term, medium, au Long term na kwa investment hiyo ujue ni Long term yaan kuanzia miaka 10 na kuendelea, umeme wa uhakika utaleta vichocheo halisi vya uchumi kama viwanda nk hivyo kupelekea pato kubwa la nchi na TANESCO hata kuweza kulipa hilo deni.