Niliwambia watu humu Zitto naye ni kilaza..wwtu wote wameingia wamekuta gasi iliuzwa na kikwete hivyonkama nchi hatuna gasi ya kujichotea.
Sasa na samia aliingia na mbwembe na akina january nao wamekwamana wanawaza kwenda kwenye solar na windi ..mbona hawaendi kwenye gas waliokuwa wanamtukania magufuri kuwa kaitelekeza?
Wewe ulishatolewa kafara na wazo wako bila kujua ndomaana huelewi unachoandika huku.Haya yako juu ya akili yako kuelewa mama mdogo. Tulia
Ungekua tajiri ungekua na akili, sasa taahira kama wewe uniite tajiri😂😂, aisee.Wewe ulishatolewa kafara na wazo wako bila kujua ndomaana huelewi unachoandika huku.
Kwa bahati mbaya huwa sibishani na masikini.
Mkuu Asante Sana,mama na JPM Ni chama kimoja,by the way Mimi nijipendekeze kwa mama ili iweje,anipe uteuzi au anipe hela?Tayari umeshamsahau Jiwe kwa kutoka avatar picha yake aliyovaa magwanda na kuweka picha ya mama kujipendekeza wewe ni mnafik tu
Tunaweza kabisa ila tuna watu wasiofikiria vizuri, mradi wa JNHP na SGR umetumia trillions, tungeweza pia kutumia trillions to develop source ya natural gas ambayo ingetupa umeme wa kuaminika for the next 100 years, kuuza ziada na kutumia majumbani mwetu kitu ambacho kingesaidia sana uchumi kukua haraka sana, gas ndio itamaliza tatizo la umeme Tanzania tunge focus hapo ,najua itakuwa very expensive na itapingwa sana lakini faida yake ni kubwa sana kwa Taifa na inaweza kutufanya tuwe instantly middle classMradi wa gesi ni trillion of Tshs pengine tusingeweza wenyewe walau mwanzoni coz gharama zinakua juu. So mnafanya tu concession agreement ila kusema imeuzwa ni overstatement.
Otherwise mliotaka tuchimbe wenyewe 100% mtuambie hyo pesa tungetoa wapi?
HakikaHta SGR ni gharama kuliko reli ya kawaida mbona hamuongelei gharama? Hta Airport mpya maintenance cost yake ni kubwa kuliko kabla ya upanuzi.
Cha msingi supply ya umeme iwepo ila tukiangalia gharama tu hakuna kitu tungeshafanya.
Masikini KinujuHuu ndiyo mzizi wa kutangaziwa mabwawa yamekauka.
Haya makampuni yanataka yarudi kuiuzia Tanesco